"Msipate taabu uchafu wa Serikaki ya marehemu unapofunuliwa. Aliufunika kwa udikteta, utaendelea kuwekwa wazi, na kuna siku atatangazwa rasmi kama mtawala dhalimu aliyewahi kuongoza nchi kwa ukatili,bila weledi, matumizi mabaya ya fedha za umma, kuwapora watu mali zao, upendeleo, n.k.

Zoeeni kwa haya machache yanavyofunuliwa ili yatakapoanikwa yote msife kihoro, na kujilaumu kwa nini mlimwamini sana mtu ambaye alitenda uovu mwingi"
Bams

Sidhani kama kuna wakati litafika unalolikusudia..

Pia na kama litafika bado tupo tutakaobaki na misimamo yetu

"JPM ni moja kati ya marais bora Africa"
Iko hivo na haiwezi kubadilika daima.
 
Yaani wamebaki kupambana na marehemu kwa nguvu zote, ninachojifunza na kunipa nguvu nikiwa na akili timamu ni kwenye uchaguzi wowote kwa sasa hakuna jipya.

Na mapambana haya yaliyopo mitandaoni ni kusagiana kunguni tu hakuna cha mcc wala mdc, kila anayepata nafasi ni kupiga pesa tu huku wananchi wakiambiwa subirini zamu yenu au hamia bunjumbura.
 
"Msipate taabu uchafu wa Serikaki ya marehemu unapofunuliwa. Aliufunika kwa udikteta, utaendelea kuwekwa wazi, na kuna siku atatangazwa rasmi kama mtawala dhalimu aliyewahi kuongoza nchi kwa ukatili,bila weledi, matumizi mabaya ya fedha za umma, kuwapora watu mali zao, upendeleo, n.k.

Zoeeni kwa haya machache yanavyofunuliwa ili yatakapoanikwa yote msife kihoro, na kujilaumu kwa nini mlimwamini sana mtu ambaye alitenda uovu mwingi"
Bams

Sidhani kama kuna wakati litafika unalolikusudia..

Pia na kama litafika bado tupo tutakaobaki na misimamo yetu

"JPM ni moja kati ya marais bora Africa"
Iko hivo na haiwezi kubadilika daima.
Labda raisi bora nyumbani kwako
 
Huyu ndiye alikuwa Katibu Mkuu wizara ya fedha. Aitwe atoe maelezo, kama vipi aelekezwe kisutu Kisha segere matata
Hata wewe uliye kuwa unamwimbia pambio,pamoja na mjomba mtu
Kwa sasa kila awaye na ghadhabu na JPM lolote lile baya akikutana nalo humsingizia Hayati Magufuli.

Tupo wengi wenye chuki/husda/hasira na JPM na hii ni kwa sababu ALITUVUNJIA NYUMBA ZETU,ALITUFUKUZA WAFANYAKAZI TULIOKUWA HATUNA SIFA na ALITUZIBIA MIANYA FULANI; Pengine.

Sasa hofu yangu ni muda wa kuendelea kumsingizia unakaribia kukoma na haupo mbali.

Ripoti ijayo ya CAG kwa mfano sioni ni kwa namna ipi ikija na mapungufu atasingiziwa Hayati!

Upigaji wa 2022 na kuendelea sioni ni kwa namna ipi atasingiziwa Hayati!

Hasara ya ATCL na Mashirika ya Umma ijayo sioni ni kwa namna ipi atasingiziwa Hayati!

Hakika nauona mwisho wa kumsingizia Hayati Magufuli ukija kwa kasi na binafsi nausubiri mwisho huo kwa hamu.
Shida Iko hivi Fanya mema buku na kosa Moja laweza futa mema yote buku🤔,Sasa iwe bahati mbaya mema10 na mabaya 1000,lazima utamani ardhi ipasuke uzamemoo🤭
 
.... miaka 10
Leta habari ya ubadhilifu ulioonwa na CAG huku kitaa kwa njia ya mikutano ama muadhara ili watu wapunguze stress. Kwa nini hamtaki kuleta habari hizi uraiani ili watu wasahau mnachotaka wasahau kama kipo lakini!? Ha ha ha ha haaaa!!
 
Haituhusu hiyo ni kazi ya CAG kuanika maovu ya serikali yenu ya kifisadi
 
Unawahusu watawala wa sasa pia. Na kikubwa zaidi unamhusu Magufuli pia.
Aliekuwa anawananga wenzie kuwa walikuwa na serikali za ovyo! Ni ******** au mhe. Samia? Hyo ndo heshima iliyorudishwa serikalin na ********! Mlez wa sabaya amrish puri
 
Back
Top Bottom