Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
416
1,042
Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa.

Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua.

Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora ukaacha leo apumzike, asije kukutana na majanga ukaishia kujuta.

Wengine wamekutana na majanga asubuhi asubuhi, jamaa kanasa kwenye mtaro maeneo ya Tegeta.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…