Acha kufikiri kizembe kaka...Mwenge has nothing to do with US...haukuwa na maana hapo kabla...na Hadi sasa hauna maana!!! zaid ya wake zetu na watoto kufanyiwa Uhuni..nasi kutozwa pesa ambazo hazina Auditing....Mwenge ni alama ya uhuru wetu.ndio maana kuna mwenge wa hata wa olympic nao ukiwa na maaana yake.lazima kila nchi iwe na alama za matikio muhimu ya nchi hio,
Mwenge umebeba ujumbe mkubwa wa utu. Uhuru wa taifa la tanzania ni uhuru wa utu. Uhuru huo ni mahali pasipo na Chuki ila upendo. Uhuru huo ni mahali apsipo na dharau za kifisadi ila kuheshimiana. ni mahali pasipo na Kukata tamaa ila matumaini.
Ni kweli mafisadi wa leo wa mekiuka yote hayo.
But
Moment is coming all this wll come to re_ actuvate through our unconsciuose mind na hapatakalika.
Nguvu ya Utu si mchezo!!!!
Mwenge wa uhuru ni dalili ya uzembe! kwani kabla ya kuja wilayani, watendaji wote hupoteza hata zaidi ya mwezi mzima wakiwa katika maandalizi ya mwenge kwa kupita sehemu mbali mbali kuomba michango kwa ajili ya gharama za mwenge. Muda wote huo ungetumika kwa kazi za maana nchi yetu ingepiga hatua kimaendeleo.
La pili ni hili la maambukizi ya gonjwa la Ukimwi, kwani hata hawa wakimbiza mwenge hutayarishiwa "wenza" ili wawapoze kwa safari kila wilaya wanayotembelea!! Na tunajua jinsi siku ya kulala mwenge inavyokuwa hasa, ni ngono na ulevi tu mpaka asubuhi!!
Kevo ... this is budgeted from peoples pockets ... barua zinatembezwa kila ofisi .. kama omba omba .. funny wakipitia wanakuwa wakali as if pesa zenyewe wameweka wao ... we usually tell them mhusika hayupo till they give up ... its true this encourages uzinzi tu ... watu wanalewa mpaka .. they should find an alternative way of celebrating this event .. thats if it really matters to them that much