Kumekucha
BetikaNataka nhame betpawa. Kampuni ipi nyingine inakubali mtandao wa halotel
Hii ina odds ngapi mkuu?BB580EC SPORTYBET
Hii ina odds ngapi mkuu?
Mie mpaka leo pesa haijafika.sportybet wana mambo yakipumbav sana..bora tuhangaike na bp tu.mtu unakota code unaeka ela sku nne wanapotea nayo
Daaah, siku zote chaguo la kwanza ndo huwa sahihi
haya madude mm nahis ni cd zilishachezwa alaf wahuni wanakuekea odds za kukutamanisha ili uingie kingi...madude ya ovyo sana hayafai hata kuguswa utakula 1 utaliwa mara 20haya madude ya kisenge kweli. ni inplay za minifootball za dakika 10, 20 na 30.
tangu juzi nayalia tizi. baada ya kujiridhisha nimekuwa fit, nikaona sasa nianze kustake. nimeliwa 70% ya stake niliyocheza. ya kiboya kweli haya.View attachment 2812790
jipange Jpili MdauHii international break mwisho lini wakuu?
Nipo napiga tizi kujinoa dhidi ya kanji ligi zikirudi tu nimuweke.