5 odds
20231114_101718.jpg
 
sportybet wana mambo yakipumbav sana..bora tuhangaike na bp tu.mtu unakota code unaeka ela sku nne wanapotea nayo
Mie mpaka leo pesa haijafika.
Utashangaa ukiweka nyingine inaingia ile ya mwanzo wanazunguushia.

Mie wakichelewa huwa nahama kabisaaa naenda BETPAWA au PARIMATCH,wakirejesha pesa Yangu ndio narudi.
PARIMATCH wapo bora zaidi shida ni webpage yao tu ipo hivyoo,Mechi za kufuata unachukia mudaaa kusuka mkeka.
Sportbety kinachoniweka ni page yao inaruhusu na simple mnoo kuweka mkeka hata wa mwezi mzima.Only that.
PARIMATCH is the best,yaani Mechi Moja unaweza kuweka options mpaka 3,aisee RAHA mnoo.So,ubora wao ni match za leo leo tu but matrain sio wazuri
 
haya madude ya kisenge kweli. ni inplay za minifootball za dakika 10, 20 na 30.

tangu juzi nayalia tizi. baada ya kujiridhisha nimekuwa fit, nikaona sasa nianze kustake. nimeliwa 70% ya stake niliyocheza. ya kiboya kweli haya.View attachment 2812790
haya madude mm nahis ni cd zilishachezwa alaf wahuni wanakuekea odds za kukutamanisha ili uingie kingi...madude ya ovyo sana hayafai hata kuguswa utakula 1 utaliwa mara 20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom