Ombenichelsea
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 749
- 1,047
4B9B4A1 betway
BetikaNataka nhame betpawa. Kampuni ipi nyingine inakubali mtandao wa halotel
Hii ina odds ngapi mkuu?BB580EC SPORTYBET
Hii ina odds ngapi mkuu?
Mie mpaka leo pesa haijafika.sportybet wana mambo yakipumbav sana..bora tuhangaike na bp tu.mtu unakota code unaeka ela sku nne wanapotea nayo
Daaah, siku zote chaguo la kwanza ndo huwa sahihi
haya madude mm nahis ni cd zilishachezwa alaf wahuni wanakuekea odds za kukutamanisha ili uingie kingi...madude ya ovyo sana hayafai hata kuguswa utakula 1 utaliwa mara 20haya madude ya kisenge kweli. ni inplay za minifootball za dakika 10, 20 na 30.
tangu juzi nayalia tizi. baada ya kujiridhisha nimekuwa fit, nikaona sasa nianze kustake. nimeliwa 70% ya stake niliyocheza. ya kiboya kweli haya.View attachment 2812790
jipange Jpili MdauHii international break mwisho lini wakuu?
Nipo napiga tizi kujinoa dhidi ya kanji ligi zikirudi tu nimuweke.
kama hizi buku buku t za deposit wanapotea nazo hawa na waswas tukiwapiga parefu wanaeza kupotelea bombay ndani ndaniMie mpaka leo pesa haijafika.
Utashangaa ukiweka nyingine inaingia ile ya mwanzo wanazunguushia.
Mie wakichelewa huwa nahama kabisaaa naenda BETPAWA au PARIMATCH,wakirejesha pesa Yangu ndio narudi.
PARIMATCH wapo bora zaidi shida ni webpage yao tu ipo hivyoo,Mechi za kufuata unachukia mudaaa kusuka mkeka.
Sportbety kinachoniweka ni page yao inaruhusu na simple mnoo kuweka mkeka hata wa mwezi mzima.Only that.
PARIMATCH is the best,yaani Mechi Moja unaweza kuweka options mpaka 3,aisee RAHA mnoo.So,ubora wao ni match za leo leo tu but matrain sio wazuri
Nyie mnadeposit kutumia mtandao gani?? Maana tangu nimejiunga na SportyBet sijawahi kukumbana na tatizo lolote la deposits & withdrawals kwa Voda na Tigokama hizi buku buku t za deposit wanapotea nazo hawa na waswas tukiwapiga parefu wanaeza kupotelea bombay ndani ndani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna classmate wangu wa chuo kanipigia simu apa saivi kaniambia kuna group kaanzisha whatsapp la sure odds members wapo zaidi ya 800 wanalipia bukubuku kwa siku hakosi laki 😅😅
Namimi nimempa baraka zote aendelee kutafuna pesa za hao maboya 🤝
UnabahatiNyie mnadeposit kutumia mtandao gani?? Maana tangu nimejiunga na SportyBet sijawahi kukumbana na tatizo lolote la deposits & withdrawals kwa Voda na Tigo