Wap yule wa milion 80 mbona hatumuon jamvin si alisema jmos anatalajia kutangazwa, bila shaka alimuwekea asenoo ile anataka cashout simu imezima chaji na yupo kwenye msibani kijijin kuja kuweka chaj masaa cashout imefungwa, wakuu ni utabiri tu kama namwona huko aliko anavyojutia
 
Arseno arseno arseno nahisi kuchanganyikiwa moyo unaniuma sina amani natamani kujiua mimi wakukosa m80 kisa team moja bora ningesikiliza ya wakamalia wenzangu kash out sura yangu naiweka wapi mimi mr bann milion 80 nimezikosa ee mungu kwann umeruhusu haya nimekukosea nini mimi haki ya mungu naenda kujiua
 
pole
 
IMG_0547.png

Ngoja tumsubir benfica na Milan tuone
Never give up
 
Arseno arseno arseno nahisi kuchanganyikiwa moyo unaniuma sina amani natamani kujiua mimi wakukosa m80 kisa team moja bora ningesikiliza ya wakamalia wenzangu kash out sura yangu naiweka wapi mimi mr bann milion 80 nimezikosa ee mungu kwann umeruhusu haya nimekukosea nini mimi haki ya mungu naenda kujiua
Mbona hujiuwi bado upo online
 
Y

Yamekuwa hayo tena Mr 80mil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom