mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,364
- 4,894
Wap yule wa milion 80 mbona hatumuon jamvin si alisema jmos anatalajia kutangazwa, bila shaka alimuwekea asenoo ile anataka cashout simu imezima chaji na yupo kwenye msibani kijijin kuja kuweka chaj masaa cashout imefungwa, wakuu ni utabiri tu kama namwona huko aliko anavyojutia