Zee la Kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2023
- 335
- 619
Leo nakupa Odds 8 za uhakika As Yesterday...🔥💪Nilishaliwaga sana Sahiv Nimejanjaruka mamaeee zao Hawanipati😂😂
Hiyo gemu ya Psv na Paris...! Aise📌 tafuta Mbadala au zitoe kabisa..Psg anawez akascore 1-0 ila PSV if sio Draw bas anakufa kifo cha FrosinoneWandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
So unabet kioga🤣🤣Leo nakupa Odds 8 za uhakika As Yesterday...🔥💪Nilishaliwaga sana Sahiv Nimejanjaruka mamaeee zao Hawanipati😂😂
Sio kiuoga hapana..Natengeneza Possible ambayo najua ntaila naweka Mzigo afu natengeneza ile ya Liwalo na Liwe Eidha Nimfireey au Antombree Pasu pasu maninaaa zake Anaboa😎So unabet kioga🤣🤣
Hii kitu Watu Mnawezaje...Mi nilisha shindwa Eti..Yan Imefika stage Mshahara Ukiingia mwisho wa Mwezi kabla sijauona nampigia simu Wife akachukue salio la Ada ya Watoto na Chakula..Mwaka jana nilibetia Ada ya Watoto Sitasahau Nilisumbuana sana na Walimu na Familia Unyumba niliutafuta kwa Tochi...BETTING Hatari ila Salama📌Nimeamua kutoka moyoni rasmi kuachana na kubet
Nimecheka sanaa, ila uzuri umejua kutatua tatizo.Hii kitu Watu Mnawezaje...Mi nilisha shindwa Eti..Yan Imefika stage Mshahara Ukiingia mwisho wa Mwezi kabla sijauona nampigia simu Wife akachukue salio la Ada ya Watoto na Chakula..Mwaka jana nilibetia Ada ya Watoto Sitasahau Nilisumbuana sana na Walimu na Familia Unyumba niliutafuta kwa Tochi...BETTING Hatari ila Salama📌
Hiyo game ya arsenal kma ngumu vile weka Ata game ya Salzburg au Ajax ggWandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
Mkuu BETTING kuacha ni Ngumu nlshajaribu nkashindwa nkaona bora ntafute njia nzuri nsigombane na watu wasio na hatia na Furaha yang😎Nimecheka sanaa, ila uzuri umejua kutatua tatizo.
Big up
Postponed unaihesabu?Jackpot ya sportpesa kwenye mechi 9 jana zimekubali 7,,, dah bado mechi 8 leo nahitaji 6 zikunali nishinde hata mil 200.
Mnanyimwaje K hivi mbona sielewi?Hii kitu Watu Mnawezaje...Mi nilisha shindwa Eti..Yan Imefika stage Mshahara Ukiingia mwisho wa Mwezi kabla sijauona nampigia simu Wife akachukue salio la Ada ya Watoto na Chakula..Mwaka jana nilibetia Ada ya Watoto Sitasahau Nilisumbuana sana na Walimu na Familia Unyumba niliutafuta kwa Tochi...BETTING Hatari ila Salama📌
Walizingua kichiziRaja
Waydad
Chelsea
Wakafie peponi
Ila huyo mjinga chelsea ndo akafie mbali kabisa hawez haribu mkeka wangu wa odds 14. Za kuumiza kichwa dah