2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,695
Hiyo game ya arsenal kma ngumu vile weka Ata game ya Salzburg au Ajax ggWandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
Hiyo game ya arsenal kma ngumu vile weka Ata game ya Salzburg au Ajax ggWandugu hapa mchawi wa kumuwekea mashaka anaeza kua nani View attachment 2557478
Mkuu BETTING kuacha ni Ngumu nlshajaribu nkashindwa nkaona bora ntafute njia nzuri nsigombane na watu wasio na hatia na Furaha yang😎Nimecheka sanaa, ila uzuri umejua kutatua tatizo.
Big up
Postponed unaihesabu?Jackpot ya sportpesa kwenye mechi 9 jana zimekubali 7,,, dah bado mechi 8 leo nahitaji 6 zikunali nishinde hata mil 200.
Mnanyimwaje K hivi mbona sielewi?Hii kitu Watu Mnawezaje...Mi nilisha shindwa Eti..Yan Imefika stage Mshahara Ukiingia mwisho wa Mwezi kabla sijauona nampigia simu Wife akachukue salio la Ada ya Watoto na Chakula..Mwaka jana nilibetia Ada ya Watoto Sitasahau Nilisumbuana sana na Walimu na Familia Unyumba niliutafuta kwa Tochi...BETTING Hatari ila Salama📌
Walizingua kichiziRaja
Waydad
Chelsea
Wakafie peponi
Ila huyo mjinga chelsea ndo akafie mbali kabisa hawez haribu mkeka wangu wa odds 14. Za kuumiza kichwa dah
Unataka Tubake mkuu, shida n kwamba uspompa kipaumbele ndo mwanzo wa mwnamke kufany umalaya na utambue fika akianza umalaya..ujiandae kupokea UKIMWI nyumbani trust me📌Mnanyimwaje K hivi mbona sielewi?
utapeli gani wakati timu unachagua wewe mwenyewe,,
SI TULIKUBALIANA MAISHA NI KAMARI.