Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 4,952
- 7,631
Code ya ushindi hii.Corners and 1.5 Bookings only:-
SPORTBETY:Weka Buku
F282B1
Note:-
Sio sure Codes,maana Sichezi wala sichezeshi mie
Tukutane kwa Wakala kesho Asubuhi
Code ya ushindi hii.Corners and 1.5 Bookings only:-
SPORTBETY:Weka Buku
F282B1
Note:-
Sio sure Codes,maana Sichezi wala sichezeshi mie
Tukutane kwa Wakala kesho Asubuhi
Nimejaribu kuangalia umejiunga lini Hili. Group kumbe juzi tuBinafsi Nimeanza formula mpya ya kubet kuanzia wiki kama mbili hivi zimepita na mtaji wangu wa Tsh 50,000/= na odds za 1.25 kila siku natoa hela baada ya siku 10, kwa sasa sihangaiki na odds mulima za kupata utajiri. Ukifanikiwa kupata odds 1.25 kwa siku 10 hapo una kitu cha 340k na chenchi inabaki
Unashauri afanye nini afanikiwe kama hao walifeli au haiwezekani kabisa.Nimejaribu kuangalia umejiunga lini Hili. Group kumbe juzi tu
Fungua au browser humu utakuta kuna watu weeengi mnoo walikuwa na mfumo huo Tena odds 1.10 to kwa stakes mpaka za 500,0000,walipotea kama Wametoka na Dem Guest za mtaani.
Ni njia hiyo watu karibia 80% wameishaitumia na kupotee kimya kimya wenye kujikaza walirudi humu na kuishia kutukana teams tu, Is not a new strategic betting set up ila Hesabu zake ni Rahisi mnoo on paper
Noma sanaHawa jamaa hua wanafanyaje aisee nasisi sijui tunakwama wapi.