Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,709
- 6,644
Code zenyewe zipo wapi mkuu? Mimi sijui hata first half inakuwaje , weka mkeka tupatie code mkuu Kwa tusiojua huo mchezonatoa CODE nikiwa kama mtaalam wa BASKETBALL,kesho kwenye Ligi ya AUSTRALIA timu inayoitwa Tasmania Juckjumper ni LAZIMA ISHINDE maana mechi iliyopita ilifungwa na Timu hiyohiyo,kwenye Ligi ya South Korea Timu inayoitwa GOYANG ni lazima ISHINDE maana walipocheza mara ya mwisho na Timu hiyo walifungwa,na kwenye Ligi ya Japan Timu inayoitwa RYUKYU ni LAZIMA ISHINDE maana leo imefungwa na Timu hiyohiyo,bado naifanyia upembuzi yakinifu CHARLOTTE HORNETS Timu ya Ligi ya Marekani,uwezekano wa kushinda ni Asilimia 70,lakini uwezekano wa kuongoza kipindi cha kwanza ni Asilimia 95,kazi kwenu kufuata Code za UHAKIKA hizo