Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,708
- 6,629
Tuzidishe maombiKwa score zilivyo,huu mkeka unatiki
Tuombe mungu tu
Tuzidishe maombiKwa score zilivyo,huu mkeka unatiki
Tuombe mungu tu
Code zenyewe zipo wapi mkuu? Mimi sijui hata first half inakuwaje , weka mkeka tupatie code mkuu Kwa tusiojua huo mchezonatoa CODE nikiwa kama mtaalam wa BASKETBALL,kesho kwenye Ligi ya AUSTRALIA timu inayoitwa Tasmania Juckjumper ni LAZIMA ISHINDE maana mechi iliyopita ilifungwa na Timu hiyohiyo,kwenye Ligi ya South Korea Timu inayoitwa GOYANG ni lazima ISHINDE maana walipocheza mara ya mwisho na Timu hiyo walifungwa,na kwenye Ligi ya Japan Timu inayoitwa RYUKYU ni LAZIMA ISHINDE maana leo imefungwa na Timu hiyohiyo,bado naifanyia upembuzi yakinifu CHARLOTTE HORNETS Timu ya Ligi ya Marekani,uwezekano wa kushinda ni Asilimia 70,lakini uwezekano wa kuongoza kipindi cha kwanza ni Asilimia 95,kazi kwenu kufuata Code za UHAKIKA hizo
Mkuu matokeo vipi huko? Lete update basiKwa score zilivyo,huu mkeka unatiki
Tuombe mungu tu
Boom😅Mkuu matokeo vipi huko? Lete update basi
Unapoelekea atakufukuza akijua unabet, atasema unachezea pesa alafu kodi yake hautaki kulipa.weka hizo Kodi mkuu mama mwenyenyumba katoka nidai hapa Kodi yake majanga tupu leo
Mwenye matokeo huku bado tuuMkuu matokeo vipi huko? Lete update basi
Heri ya mwaka mpya wapambanaji wote
Mwaka huu ukawe wa heri kwetu
Umetisha walau tumeambulia chochote chakuanzia mwakaIle zawadi ya mwaka mpya Bab jesuss nime ifikisha go goo gooo goooo goooo Bab jesuss boooooooooooooom HAPPY NEW YEARView attachment 2464911
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Daaa kama MimiUnapoelekea atakufukuza akijua unabet, atasema unachezea pesa alafu kodi yake hautaki kulipa.
Ni muda kidg, nilichelewa kulipa kodi alafu nilionekana nimelewa kama wiki hv mfululizo, naambiwa kodi hautaki kulipa ila kila siku unalewa..daah nikaguna tu
Nimecheka kinomaaHeri ya mwaka mpya mwaka mpya wakamaria 2023 tumfilisi muhindi kwa udhamini wa watoa code wote.
Utanitumia no nikupe ya mkeka kesho ManIle zawadi ya mwaka mpya Bab jesuss nime ifikisha go goo gooo goooo goooo Bab jesuss boooooooooooooom HAPPY NEW YEARView attachment 2464911
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Asante mkuuUtanitumia no nikupe ya mkeka kesho Man