natoa CODE nikiwa kama mtaalam wa BASKETBALL,kesho kwenye Ligi ya AUSTRALIA timu inayoitwa Tasmania Juckjumper ni LAZIMA ISHINDE maana mechi iliyopita ilifungwa na Timu hiyohiyo,kwenye Ligi ya South Korea Timu inayoitwa GOYANG ni lazima ISHINDE maana walipocheza mara ya mwisho na Timu hiyo walifungwa,na kwenye Ligi ya Japan Timu inayoitwa RYUKYU ni LAZIMA ISHINDE maana leo imefungwa na Timu hiyohiyo,bado naifanyia upembuzi yakinifu CHARLOTTE HORNETS Timu ya Ligi ya Marekani,uwezekano wa kushinda ni Asilimia 70,lakini uwezekano wa kuongoza kipindi cha kwanza ni Asilimia 95,kazi kwenu kufuata Code za UHAKIKA hizo
Code zenyewe zipo wapi mkuu? Mimi sijui hata first half inakuwaje , weka mkeka tupatie code mkuu Kwa tusiojua huo mchezo
 
weka hizo Kodi mkuu mama mwenyenyumba katoka nidai hapa Kodi yake majanga tupu leo
Unapoelekea atakufukuza akijua unabet, atasema unachezea pesa alafu kodi yake hautaki kulipa.

Ni muda kidg, nilichelewa kulipa kodi alafu nilionekana nimelewa kama wiki hv mfululizo, naambiwa kodi hautaki kulipa ila kila siku unalewa..daah nikaguna tu
 
Mkuu matokeo vipi huko? Lete update basi
Mwenye matokeo huku bado tuu
Screenshot_20230101-000842.jpg
 
Unapoelekea atakufukuza akijua unabet, atasema unachezea pesa alafu kodi yake hautaki kulipa.

Ni muda kidg, nilichelewa kulipa kodi alafu nilionekana nimelewa kama wiki hv mfululizo, naambiwa kodi hautaki kulipa ila kila siku unalewa..daah nikaguna tu
Daaa kama Mimi
Narudi nimelewa naulizwa asa mbona unarudi hivyo na huna hela
Nikamwambia kijiweni unaenda huna ata 100 lkn unarudi umechakaa
Muwe wapole



Pia kupanga nyumba kodi yako wanategemea kula na nauli za watoto sio poa
 
Kuna treni limebakiza mechi za basketball tupu ,,kanji akijichanganya ataumia maana lilikua limeshiba odds.
NB : niliflex na mechi za mpira waliua Crystal palace
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom