Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,703
- 5,635
Aisee....ni mwendo wa kuweka mizigo mizito.Karibu sana Boss, moja ya malegendary humu ndani. Stake high
JamiiForums mobile app
Aisee....ni mwendo wa kuweka mizigo mizito.Karibu sana Boss, moja ya malegendary humu ndani. Stake high
huyu ndo mtu alinifanya nikaanza kubet oyaaaaaaaaa we mzeeeee kiboko ya warusi kitambo sana aiseee
Bigboi umenifanya nisajili line ya Tigo kwa ajili ya Sportybet.A6F7D4F BETPAWA
92A387A SPORTY
98B7B6
3842A0
Mzee wa over 0.5 goal first half ila tulimtandika sana Muhindi kipindi hicho.Mzee wa inplay,
Oyaaa...nambie Ozzyhuyu ndo mtu alinifanya nikaanza kubet oyaaaaaaaaa we mzeeeee kiboko ya warusi kitambo sana aiseee
Tayari yoote yaanii... ikitiki hata miwili tu,kesho sinywi supu ya utumbo,ni Supu ya kuku kidali.2339EF
516E20
7E3F87
Bigboi umenifanya nisajili line ya Tigo kwa ajili ya Sportybet.
Nimeshatembea na codes zote hizi isipokuwa hizo za betpawa maana nimekuta timu kama 5 zimeshaanza mchezo nikaacha.
Nimeweka 7000 tu kwenye akaunti ya Sportybet, sasa ni kuimega kila ukileta Code hadi iishe au ishinde. Sitaedit chochote yaani ni C&P.
So ukisikia mkeka mmojawapo wa Sportybet umetiki kutoka kwenye codes zako basi nami nimo.
Nasemaje!! Vilio sasa basi.
Kwa wengine ambao mnalalamika kuwa haleti za Betpawa (nami nilikuwa naumia kwa nini Betpawa anatutupa sana) naomba mjikaze,fungua akaunti ya Tigo au Voda,au Airtel ili mu access Sportybet.
Bigboi Mungu akutunze! Kwa shuhuda za humu naamini siwezi chana mikeka mitatu mfululizo. Naanza leo kuhesabu!.
Duuuuh hongera sana mwamba
Tokea kuanzishwa hii michezo inaitwa sijui tatu mzuka !, sijui namba ya bahati ! mimi kwangu naona kama kuna harufu ya kautapeli ambako hata hakuna mtaji unaoweza kuweka.
Hii michezo bahati nasibu ujui nani kapata wala nini kama ni giza tu !.
Nimejaribu kumuuliza mtu kuhusu ili naye kashangaa hata ulaya halipo.
tanzania unaweza kutajirika kwa ujanja kama muwekezaji aliyakataliwa mkataba hata shingimia ajaweka tu ila kataka mabilioni alipwe.
Kamari inalifilisi taifaTokea kuanzishwa hii michezo inaitwa sijui tatu mzuka, sijui namba ya bahati, mimi kwangu naona kama kuna harufu ya kautapeli ambako hata hakuna mtaji unaoweza kuweka.
Hii michezo bahati nasibu ujui nani kapata wala nini kama ni giza tu.
Nimejaribu kumuuliza mtu kuhusu ili naye kashangaa hata ulaya halipo.
tanzania unaweza kutajirika kwa ujanja kama muwekezaji aliyakataliwa mkataba hata shingimia ajaweka tu ila kataka mabilioni alipwe.
Hii Azam GG ni kama iko wazi sana,,, sema police nao bhana dahAZAM
GG&3+
3.00
MAXB