Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,008
Huyu galatasaray hata aibu hana.
Naomba Uwe Unanitag Mkuu!Sio kwamba watu hatushindi. Tunashinda sana ila nikiangalia asilimia kubwa ya wakamaria wa humu ni vijana ambao hamfanyi analysis ya kutosha. Yaani kwa vile ni kubahatisha basi na nyi mnabahatisha liwalo na liwe. Ni kama falsafa ya kuzaa watoto wengi ili mmoja aje akuokoe kumbe unajikuta unazama nao. Kama upo tayari fuatana nami kila siku nitaweka odds 2 au tatu halafu tuangalie kwa wiki mbili tumeshinda mara ngapi. Nawasilisha.
umuandae kabisa na wakukufuta machozi.Liverpool win
Odds
1.34
Stake 1 million
Nimecheka sana
Mpira wa kurusha ulipatikana kabla dk haijaisha mkuu
Lost
Ujiandae kisaikolojiaLiverpool win
Odds
1.34
Stake 1 million
Hakuna ustaarabu kwenye kutafuta pesa. Acheni dharauBet kistaarabu
Hamna kitu hapo. Anaweka vitu havieleweki wala nini. Anatuma anavyojisikia.
Ila humu ndani stress utakuwa unajitakia tu.umuandae kabisa na wakukufuta machozi.
Kuna mwamba ameambiwa atafute mtu wa kumfuta machozi mapema. Alitaka kuweka 1M kwa Liver afu DW.Liverpool anathema "mambo" dk60.
Liverpool anawasalimu kwa jina la OVER 1.5, DC, DW anasema hatowaangusha....
ila kanji hafai nyie.