Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,524
Naomba Uwe Unanitag Mkuu!Sio kwamba watu hatushindi. Tunashinda sana ila nikiangalia asilimia kubwa ya wakamaria wa humu ni vijana ambao hamfanyi analysis ya kutosha. Yaani kwa vile ni kubahatisha basi na nyi mnabahatisha liwalo na liwe. Ni kama falsafa ya kuzaa watoto wengi ili mmoja aje akuokoe kumbe unajikuta unazama nao. Kama upo tayari fuatana nami kila siku nitaweka odds 2 au tatu halafu tuangalie kwa wiki mbili tumeshinda mara ngapi. Nawasilisha.