Sio kwamba watu hatushindi. Tunashinda sana ila nikiangalia asilimia kubwa ya wakamaria wa humu ni vijana ambao hamfanyi analysis ya kutosha. Yaani kwa vile ni kubahatisha basi na nyi mnabahatisha liwalo na liwe. Ni kama falsafa ya kuzaa watoto wengi ili mmoja aje akuokoe kumbe unajikuta unazama nao. Kama upo tayari fuatana nami kila siku nitaweka odds 2 au tatu halafu tuangalie kwa wiki mbili tumeshinda mara ngapi. Nawasilisha.
Naomba Uwe Unanitag Mkuu!
 
BCA5827 (Betpawa)
Mechi 24 za J5
Odds 429.10



PSX_20211228_231759.jpg





PSX_20211228_231812.jpg
 
Jamani nimekubali kamari ni moto! Inaweza hata ikakuzeesha mtu hadi makunjokunjo kumbe bado kijana mbichi! Hakuna mtu alitegemea Liverpool angewashwa dakika ya 59 na asirudishe goli! Yaani hii ni sawa na mtu unawashwa kibao cha nguvu na kuona kama angani zinaelea nyota! Na hapo ndipo Man City wanapokujaga kumsikia bombani. Huwa anaanza taratibu huku chini, anaenda anapangua ngoma taratibu kupanda kileleni, halafu akishakaa pale juu ndiyo usahau kumkuta hadi ligi inakwisha!
Liverpool anawasalimu kwa jina la OVER 1.5, DC, DW anasema hatowaangusha....
ila kanji hafai nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom