davetz28
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 543
- 617
Sasa si umeambiwa ndani ya masaa 24?Kwa mara ya kwanza nimekutana na mkwamo wa kutoa hela 22bet
Nimetoa hela toka usiku saa 10 hadi sasa muamala hausomi
Nachat nao wananiambia ndani ya masaa 24
Tunatatuaje hii ipatikane mapema?
Tuliomo hatuwezi kutatua tatizo lako