Jaribu sportybet wako poa sana yaani hadi mechi unaangalia live huku una bet..options kama zote,pesa ukila unaipata wakati huohuo..Sport pesa ni matapeli wakiona kuna options za kupiga pesa kama over 1.5 hawaziweki wanakuwekea game itoe zaidi ya goli 3
Mimi sipendi options nyingi mkuu
Options zangu siku zote,miaka yote ni magoli over(1.5,2.5 fulltime na over 0.5,1.5 first half).....sitaki mambo mengi

Baada ya kuachana na Mbet miaka ile kwasababu ya kunicheleweshea ela yangu nikahamia betpawa....hapa betpawa kuna kila nachokitaka kwenye betting,sijawahi kutumia sport pesa wala mazagazaga mengine

Nitahama betpawa siku wakianza kunicheleweshea mzigo wangu tu
 
Tutaonana Januari
Ngoja nikomae na familia sasa na sikukuu
IMG_4096.png
 
Code hiyo apo wakuu unaweza kuzibetia Kama ilivyo na ukaigawa mara mbili Yani tim 16 za mwanzo na Tim 16 za mwisho



Betpawa 32FB494

App yangu ya jamiiforum sijui imekuaje apa nimetumia website


Alll in all wish marry Christmas and happy new year


Good luck to alll tutakutana mwakani

Screenshot_20211224-082734.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom