Kwa mara ya kwanza nimekutana na mkwamo wa kutoa hela 22bet

Nimetoa hela toka usiku saa 10 hadi sasa muamala hausomi
Nachat nao wananiambia ndani ya masaa 24

Tunatatuaje hii ipatikane mapema?
Sasa si umeambiwa ndani ya masaa 24?
Tuliomo hatuwezi kutatua tatizo lako
 
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mkwamo wa kutoa hela 22bet

Nimetoa hela toka usiku saa 10 hadi sasa muamala hausomi
Nachat nao wananiambia ndani ya masaa 24

Tunatatuaje hii ipatikane mapema?
Nadhani ni betting company ya kipumbavu sana, jana niliweka hela, nikabet kiasi, kilichobaki nikataka nikitoe nihamishie betpawa, zikagoma... Nikawasilianana customer care, jibu walilonipa ndo liliniacha hoi, eti siwezi kutoa hela, inabidi ni bet hela yote niliyoweka... Ndo nikajua kumbe kampuni ni ukubwa tu wa jina, ila upumbavu mtupu... Yaani ukiweka hela lazima u bet yote... Sasa ukishinda je? Ndo wataruhusu utoe?
 
Hope unaweza kujifunza kupata win kupitia mikeka yangu tizama vizuri njinsi navyo bet Wenda ukaja kuwa mkali zaidi yangu me mwenyewe nimejifunza hapa hapa kubet
Nimeweka hapa ili wadau mjifunze kupata huu ukijani Kama mimi nilivyojifunza hapa hapa kwenye huu Uzi
Screenshot_20211223-125038.jpg
Screenshot_20211223-125102.jpg
Screenshot_20211223-125013.jpg
Screenshot_20211223-125112.jpg
 
Nimeweka hapa ili wadau mjifunze kupata huu ukijani Kama mimi nilivyojifunza hapa hapa kwenye huu Uzi View attachment 2054421View attachment 2054422View attachment 2054423View attachment 2054424
Ukitulia vizuri utapa mwangaza kupitia mkeka huu ukifanikiwa kufahamu fanya majiribio kwa timu 10 tu weka ata shilingi 1 baada ya mda utakuja kuwa mkali Sana

Kumbuka ili uweze kujua usiogope kupoteza kwani unavyo unavyo pata lost ndo unapojifunzia

Betting ni mtego na kila kampuni inamitego yake na aifanani unatakiwa kujua tu mitengo ukifanikiwa kujua hiyo mitego utakuwa tayari umeisha kwivaaa
Screenshot_20211223-130611.jpg
 
Kuna watu mnataka kujifanya wamiliki wa hii thread, wewe kama nani unampangia jamaa cha kupost humu tena kwa maneno ya shombo kama unaamrisha mkeo?? Tangu lini umepata mamlaka u-mod kiasi cha kutaka ku-regulate kinachopositiwa humu?

Hizi hasira za ufukara wenu muwe mnapaeleka kwenye maukoo yenu huko.
Pamoja Sana mkuu,Kuna watu wanapigwa na muhindi halafu hasira anazileta kwa jf members,lakini kuna wengine siteki kwao Ni shida Hawa nao wanahasira Sana.

Binafsi sioni shida ya mtu kuleta mkeka ulio wini no matter alishea humu or not,Ila mikeka ya iliyoshinda inatuhamasisha na kutupa moyo kwamba inawezekana na one day yes
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom