Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,060
- 1,959
Ok ushauri mzuri, ukishabeti kabla timu hazijaanza, screenshot options ulizobetiSikulazimishi kuamini na wala sijaleta iwe mada...ila nachojua kama umekuwa mcheza kamari wa siku nyingi huwezi kubisha swala la hizi kampuni nguvu wanayokuwa nayo juu ya hii mikeka...hasa kwa timu wanazojua hazifatiliwi au za ligi ndogo..so kama unabisha wewe bisha ila ipo siku utajionea mwenyewe mimi hiki kitu leo ni mara ya tatu japo ni vitu tofauti..na naweza kukupa ushahidi
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app