Mimi ndiyo safari hiyo imeanza
Screenshot_20211207-225908.jpg
Screenshot_20211207-230149.jpg


Sent from my TECNO WX4 using JamiiForums mobile app
 
Hawa washenzi Sana wamesha fuzu wakaamua kulegeza watuchanie mikeka
Ogopa sana hizo timu zilizofuzu, nawaambia watu kesho BAYERN waachane nae au wampe DC Barca, kwa ninavyoangalia Bayern matokeo yake mazuri kesho ni Sare tena ataitafuta kwa tochi na mababu wale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom