msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,252
- 2,901
Hata wakati wanacheza na PSG mlisema hivihivi halafu akashindaNaona guardiola kashaanza dharau huko anawachukulia poa RB leipzig..kikosi gani hiki
Hata wakati wanacheza na PSG mlisema hivihivi halafu akashindaNaona guardiola kashaanza dharau huko anawachukulia poa RB leipzig..kikosi gani hiki
Hahahah watachomoa tuKuna mtu dharau zinamtokea puani hukooo
Hata wakati wanacheza na PSG mlisema hivihivi halafu akashinda
Psg nimekuomba goli mbili lakini sio ufunge hivyo mapema sijapendezwa
Hii leo tunazikaMuhindi yuko mzigoni akipambana kuchana mikeka ya wana eeh ashindwe na alegeee
Hakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobetiKuna mtu alileta mada humu kuhusu hawa jamaaa kukubadilishia option nilikuwa kinara wa kupinga ila leo imenitokea...na anaepinga aendeelee kupingaaa mkeka....
Inabidi tuwe tunascreen shot mapema mkeka hlf baada ya matokeo unacheki tena mkeka wakoKuna mtu alileta mada humu kuhusu hawa jamaaa kukubadilishia option nilikuwa kinara wa kupinga ila leo imenitokea...na anaepinga aendeelee kupingaaa mkeka....
Saa nyingine pia tunakua na haraka wenyewe hlf hatuhakiki before Ku place the bet mm kuna siku niliibet timu kibao hlf kuna moja nilikosea nilietaka kumpa nikampa ambae sijataka kumpa kwa bahat mbaya mkeka ulitoa wote kasoro hyo mistake kwa ile harakaHakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobeti
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Sikulazimishi kuamini na wala sijaleta iwe mada...ila nachojua kama umekuwa mcheza kamari wa siku nyingi huwezi kubisha swala la hizi kampuni nguvu wanayokuwa nayo juu ya hii mikeka...hasa kwa timu wanazojua hazifatiliwi au za ligi ndogo..so kama unabisha wewe bisha ila ipo siku utajionea mwenyewe mimi hiki kitu leo ni mara ya tatu japo ni vitu tofauti..na naweza kukupa ushahidiHakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobeti
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app