Hakuna kitu kama hicho mkuu , imagine tunaobet tupo wengi sana world wide nivigumu sana kukubadilishia option, wanapata wapi muda huo? kama unakuwa na wasiwasi ukishabeti, screenshot options ulizobeti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Sikulazimishi kuamini na wala sijaleta iwe mada...ila nachojua kama umekuwa mcheza kamari wa siku nyingi huwezi kubisha swala la hizi kampuni nguvu wanayokuwa nayo juu ya hii mikeka...hasa kwa timu wanazojua hazifatiliwi au za ligi ndogo..so kama unabisha wewe bisha ila ipo siku utajionea mwenyewe mimi hiki kitu leo ni mara ya tatu japo ni vitu tofauti..na naweza kukupa ushahidi
 
Ok ushauri mzuri, ukishabeti kabla timu hazijaanza, screenshot options ulizobeti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Ok ushauri mzuri, ukishabeti kabla timu hazijaanza, screenshot options ulizobeti

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mimi kwa siku nabet mikeka zaidi ya ishirini nacheza keno...hockey...fotball...na kamar nyingine unafikir ntaweza kuwa na screen shot kila mkeka mkuu??...anways haya yamenitokea mimi so tuendelee kupambana ila naamin itatokea kwa mtu tena na tutabisha hivi hivi.
 
Wale wa live bana pumbu man city asipate goli.

Screenshot_20211207-221745.jpg
 
Game ya Leipzig vs man city

City kaisha fuzu kwenda stage inayofata tena kwa kuongoza haijalishi atapata matokeo gani game yake ya mwisho.

Leipzig ana point 4 sawa na club Brugge(H2H inawatofautisha) na kati ya hawa wawili mmoja anatafuta sport ya Europa.

Leipzig ataitaji point 3 ili awe in favor kwenda stage nyingine.

Home team to score kuna chance kubwa leo

City kifunga inawezekana ndani ya dakika 90 so tunakua na nafasi ya GG/BTTS

Bali na hivyo pia uwezekano wa game kutoa 2 plus pia upo.

Double chance kwa Leipzig ilikua na point 2 hadi sasa inapumua kwa watu.

Sijui kama GG itapatikana
 
Nmeeka mikeka zaidi ya 6 na yote man cty nilimpa japo kuna miwili moja man cty apate goli mwengine no draw yani mmoja wao ashinde ila pia nina waswas kuna fala mwengine anakuja kutuuza leo
 
Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom