Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Mkuu samahanini mkeka ulianzia jana ila wakati namaliza zishaanza mechi zingine so sikuwa na namna ,kesho tutasuka mwingineMbona hukutuwekea na sisi mkuu, leo tungesherekea wote
Mkuu samahanini mkeka ulianzia jana ila wakati namaliza zishaanza mechi zingine so sikuwa na namna ,kesho tutasuka mwingineMbona hukutuwekea na sisi mkuu, leo tungesherekea wote
Mkuu huu mke jana wakati namalizia timu zingine zishaanza mechi kwahiyo siku na namna ,tuko pamoja tutasuka tena kesho nitaletaKwann hauweki tukopi??? Ss ina maana gani
Mkuu nishajibu Jana wakati namalizia kuna mechi zishaanza kwahiyo ilikuwa ngumu ,but tuko pamoja ,ila nilikuwa na id nyingine humu huwa nashare sana tu sema iko ban kwa sasa
Pmj sana kama hutajali hata 5k tu ya mkeka wa kesho ntashukuru sana...Mkuu huu mke jana wakati namalizia timu zingine zishaanza mechi kwahiyo siku na namna ,tuko pamoja tutasuka tena kesho nitaleta
Acha hasira ndugu. Be inspired, pengine angeweka wala hata usinge-copy.Kwann hauweki tukopi??? Ss ina maana gani
bila shaka utakua shabiki wa ChelseaAcha hasira ndugu. Be inspired, pengine angeweka wala hata usinge-copy.
Kuna mikeka imewekwa hapo juu tuoneshe umekopi mingapiKwann hauweki tukopi??? Ss ina maana gani
Hapana sijawahi kuwa shabiki wa watu hao. Nina seat yangu ya kudumu pale Trafford.bila shaka utakua shabiki wa Chelsea
Oho pmj sana kamanda tuendelee na kazi yetu pendwa...Hapana sijawahi kuwa shabiki wa watu hao. Nina seat yangu ya kudumu pale Trafford.
Wa kulalia huu... Hadi kesho tenabetpawa. D3F7221
Daah, natamani lakini nimekaukiwa mtajibetpawa. D3F7221
Mkuu ishu ni kwamba unaweka mkeka lakini watu wanapotezea halafu kuna option hata kushare unaona so kwamba watu watanionaje ,hizi code watu wanazoziweka ni kuweka moja kwa moja ,au we kurekebisha kidogo ,miezi 6 iliyopita kwa I'd yangu nyingine niliweka treni timu 22 hakuna aliyegusa baadaye nikashinda 2,800,000 kuleta mrejesho ndo wanashtukaAcha hasira ndugu. Be inspired, pengine angeweka wala hata usinge-copy.
Hizi kimataifa naona nitofauti na ligi ,ligi week iliyopita zilichanika balaaAfadhali wiki hii gundu imetoka hongera sana wakuu
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Mkuu we leta mi matreni nayapenda sana na sijawahi skip unless nisiwe online au sina mtaji.. Pia kuna watu wengi sana wanabet kimya kimya sio lazma wajitangaze niamini Mimi.. So usiache kuletaMkuu ishu ni kwamba unaweka mkeka lakini watu wanapotezea halafu kuna option hata kushare unaona so kwamba watu watanionaje ,hizi code watu wanazoziweka ni kuweka moja kwa moja ,au we kurekebisha kidogo ,miezi 6 iliyopita kwa I'd yangu nyingine niliweka treni timu 22 hakuna aliyegusa baadaye nikashinda 2,800,000 kuleta mrejesho ndo wanashtuka