Huu mkeka mbona kama unaukakasi (umetupiga ndala mkuu sijui ili iweje)

1.Odds 591.89 x 970 TZS = 574,133
2. Ukizidisha odds za huo mkeka zinazidi odda 591.89
Mkuu betpawa kuanzia timu 10 wana bonus ,hizo ni timu 25,. Odds zinazopatikana kuanzia timu 20 bonus unayoongezewa ni karibia marambili unayopata ,betpawa timu zinavyokuwa nyingi odds ndo zinavyopanda.

We kama unaona mkeka una ukakasi sawa maana mi ndo niliyobet
 
Tena siyo kumi tu, hata mechi tano wanakupa bonus. Wapo vizuri sana
 
Mkuu betpawa kuanzia timu 10 wana bonus ,hizo ni timu 25,. Odds zinazopatikana kuanzia timu 20 bonus unayoongezewa ni karibia marambili unayopata ,betpawa timu zinavyokuwa nyingi odds ndo zinavyopanda.

We kama unaona mkeka una ukakasi sawa maana mi ndo niliyobet
Kaka suka mkeka wa odd kama hizo halafu weka dau kama la jamaa ujionee mwenyewe

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Naelewa kuhusu bonus, timu zikiwa 25 unapewa 150% ila ukizidisha odds na stake ya mkeka mbona hakua uwiano!?

Hongera lakini mkuu
Hebu piga mahesabu huu upo sahihi? Timu 44
Screenshot_20211009-221447.jpg
 
Betpawa bonus yao nimeipenda hii ndio kampuni ya kubetia wakuu kwanza unawez a ku cash out

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Mkuu betpawa ibaki tu hivo hivo,hata sportpesa haioni ndani ,sportpesa walivyowajanja wanapandisha odds kidogo Ila kodi ni kubwa betpawa wao wanakupiga na bonus ya maana. hebu jaribu kubet betpawa halafu nenda sportpesa jaribu timu hizo hizo ,unachopata ni tofauti kubwa mno
 
Usicheke mkuu, tupo wengi tusoelewa hizo code, tueleweshe
Hizo codes mwenyewe mwanzoni zilitesa ,but pale ukiweka mkeka betpawa kabla hujaconfirm wanakuambia copy codes ,hizo codes ndo tunazoweka huku,halafu mwingine anaweza kuchukua zile codes anarudi betpawa pale kwenye menu ya my bets kwa pembeni kuna mpira ,ukiclick ule mpira inakupa sehemu ya kupaste zile codes ulizopewa then inakuletea mkeka wa yule mtu unaweza kuchambua na kufanya na kubet
 
Nimejaribu na nimefanikiwa,baada ya mdau kunielekeza kule pembeni upande wa kulia kunakuwaga na ball then nikajiongeza,
Now i know

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom