Nasema hiv kubahatisha kuendelee
Screenshot_20211009-210917~2.jpg

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Acha hasira ndugu. Be inspired, pengine angeweka wala hata usinge-copy.
Mkuu ishu ni kwamba unaweka mkeka lakini watu wanapotezea halafu kuna option hata kushare unaona so kwamba watu watanionaje ,hizi code watu wanazoziweka ni kuweka moja kwa moja ,au we kurekebisha kidogo ,miezi 6 iliyopita kwa I'd yangu nyingine niliweka treni timu 22 hakuna aliyegusa baadaye nikashinda 2,800,000 kuleta mrejesho ndo wanashtuka
 
Mkuu we leta mi matreni nayapenda sana na sijawahi skip unless nisiwe online au sina mtaji.. Pia kuna watu wengi sana wanabet kimya kimya sio lazma wajitangaze niamini Mimi.. So usiache kuleta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom