Ndio maana yake
Palipo na Voda basi Safaricom itakamata
Napalipo na Safaricom basi Voda itakamata
Roaming. ....
Swali zuri ila tukumbuke tu kuna watu wako mwanza na wana deposit na kuwidraw kutumia Safaricom...Ngoja nikupige kaswali kiongozi unijibu kwa sababu sina uelewa huo
Nikiwa na laini ya Safaricom na nipo Kilosa itakamata 3G au nitaitumia kwa minara gani maswali yangu yanaweza kuwa hayana kichwa wala miguu ila waweza kujitahidi kuyaelewa Kilosa hakuna minara ya Safaricom ipo ya Vodacom network yao nitaipataje?
Kabisaaa..Hizi mechi za leo za Tanzania zimekaa vizuri kupanga matokeo sema wachezaji wetu hawajui kujiongeza tu. Yan ilitakiwa leo GG ziwepo za kutosha.
Hili nalo neno mkuuHizi mechi za leo za Tanzania zimekaa vizuri kupanga matokeo sema wachezaji wetu hawajui kujiongeza tu. Yan ilitakiwa leo GG ziwepo za kutosha.
.Hili nalo neno mkuu
Naomba kama una table currently ya ligikuu niwekee hapa mkuu
Niki google napata table zipo tofauti sana
Aisee
Aisee
Kumbe vita bado kabisa
Hapa mlungula lazma utembee kiaina
Mkuu samahani!! Unaipenda sana klabu ya Bologna?SIMBA wazinguaji sana. Mechi kama ya leo wenzao wanafanya sadaka mashabiki na sisi tule hela. Mungu isaidie simba mwakani ifulie. Wenzao juve juzi weekend wameachia kiulaini na sampdoria.
Mkuu nikitaka kukutumia text pm haikubali nakupataje tuyajeng?Sportpesa inawezekana, lakini ni kwa tabu sana ukilinganisha na 1xbet
Kama huna ID ya kenya huwezi kupata Safaricom mpesaOk sawa bro ngoja nifanye mchakato wa kuioata hii line thwn siku nikipata safari ya Arusha lazima nivuke boarder nipate yangu halisi yenye utambulisho wangu
Walioko ndani hawajutii kabisa.
Njoo tushirikiane kumpiga muhindi
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Db8LDis1eFnFLpa0dy5kLZ
Ushawaremove unakuja tena kuwatafuta humu! Ndo maana unalala chini kama NyokaWalioko ndani hawajutii kabisa.
Njoo tushirikiane kumpiga muhindi
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Db8LDis1eFnFLpa0dy5kLZ
Scsmer unajua maana yake au ndio mropoko tu?Scamer
Scsmer unajua maana yake au ndio mropoko tu?