Ndio maana yake
Palipo na Voda basi Safaricom itakamata
Napalipo na Safaricom basi Voda itakamata

Roaming. ....
Ngoja nikupige kaswali kiongozi unijibu kwa sababu sina uelewa huo

Nikiwa na laini ya Safaricom na nipo Kilosa itakamata 3G au nitaitumia kwa minara gani maswali yangu yanaweza kuwa hayana kichwa wala miguu ila waweza kujitahidi kuyaelewa Kilosa hakuna minara ya Safaricom ipo ya Vodacom network yao nitaipataje?
Swali zuri ila tukumbuke tu kuna watu wako mwanza na wana deposit na kuwidraw kutumia Safaricom...
 
Hizi mechi za leo za Tanzania zimekaa vizuri kupanga matokeo sema wachezaji wetu hawajui kujiongeza tu. Yan ilitakiwa leo GG ziwepo za kutosha.
Hili nalo neno mkuu

Naomba kama una table currently ya ligikuu niwekee hapa mkuu

Niki google napata table zipo tofauti sana
 
Hili nalo neno mkuu

Naomba kama una table currently ya ligikuu niwekee hapa mkuu

Niki google napata table zipo tofauti sana
.
_20190528_153034.JPG
_20190528_153023.JPG
_20190528_153001.JPG
 
Mfano hiyo game ya Mbao vs Kagera sugar, Tanzania prisons vs Lipuli

Unahisi kagera atakubali kushuka daraja...??? Vipi kuhusu Tanzania prisons...?? Je Ruvu shooting..???
Aisee
Kumbe vita bado kabisa
Hapa mlungula lazma utembee kiaina
 
SIMBA wazinguaji sana. Mechi kama ya leo wenzao wanafanya sadaka mashabiki na sisi tule hela. Mungu isaidie simba mwakani ifulie. Wenzao juve juzi weekend wameachia kiulaini na sampdoria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom