Kweli aisee mkuu ngoja nijitahidi niipate hiyo line ila kuna mdau hapo Etoo43 kasema anazo ila anauza kwa watu wa Dar moshi tu ss sijui nani mwingine anazo
Msinione mbaya kuwauzia watu wa Dar na Moshi tu, hii ni kwa sababu sipendi biashara ya kutumiana pesa, watu wa Dar mtakuja wenyewe na pesa yako mkononi, unatoa pesa unavhukua line. Watu wa Moshi pia vivyo hivyo. Nategemea kufungua kituo makambako kwa watu wa kusini.
 
Hhhhh
 
Wazee wa kuweka mikeka nataka nijaribu kutafuta pesa kupitia betting rasmi mwez ujao AfCON/COPA AMERICA/UEFA NATIONS league zikiinza ila natak niwe na stake kuanzia elfu kum na kuendelea kwa wazoefu nipeni ushauri au maoni njia gan nitumie zaid ili nimkamue vya kutosha mhindi natak nipige pesa ndefuu wazee
 
Wale wazee wa single 1xbet
Nime pick single 22 tayari
Nachambua tena nipate single 10 za ku stake

Chagua zinazokufaa
Stake wisely

NB
Samahani kwa watakao kwazika maana nimezimwaga kama Pdidy
Screenshot_2019-05-29-11-40-41-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-40-35-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-40-28-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-40-21-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-40-12-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-54-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-46-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-37-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-30-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-22-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-16-1.jpeg
Screenshot_2019-05-29-11-39-09-1.jpeg
 
Bet Kwa live BETTING ... MAGOLI ... OVER 1.5 ..... HALF WITH MORE GOAL 2H .......... double chance 12 ... Pia zingatia na Muda zile dk 90 .... Cheza Kwa kuangalia muda
Yaani hapa mkuu umeniacha hebu fafanua vizuri, wengine ndo tunataka kujiingiza kwenye hii issue
 
Ukicheza goal over 1.5 maana yake Dk 90 ... Magoli yapatinane mawili ... Umeshinda below of 1.5 goal umeliwa ! .... Nikusema Half with more goal ... Kipindi chenye magoli mengi ... Half time ya kwanza au Second half time ? ... Mara nyingi magoli yanapatikana kipindi cha pili ... Mfano 1H ... Goal likapatina moja .. sasa inabidi 2H goal zipatiane kuanzia na 2 ndo ushinde otherwise umeliwa !!

Double chance 12 maana yake ... FT team 1 ishinde au Team2 ishinde ... Wakitoka draw umeliwa

Kuna double chance ya 1X ,X2 maana yake Ukichagua 1X ni Team 1 ishinde au itoke draw umeshinda !! Team 2 akishinda umeliwa ... Hivyohivo na X2

Fungueni hizo attachment muangalie
Screenshot_20190529-121716.jpeg
Screenshot_20190529-121655.jpeg
Screenshot_20190529-121638.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom