Dejavu naomba bet slip yako...
Aha ha ha! We jamaa bhana. Binafsi nina mkeka mmoja kibindoni wenye risk sana una timu mbili tu za direct win nimeuwekea 50k. Risk yake ni kubwa sana inataka moyo wa chuma na ball of steel. Hatari tupu!
Jana ndio nilikuwa na mkeka wa hela ulikuwa na odds 14 nikauwekea 10k likapita lisaa kabla hata game hazijaanza Mrusi akataka aununue kwa 14k sababu aliona hawezi kuruka, na hatimae ulitick but ndio niliuza kwa elfu 36 nikaacha malaki.
Leo nascratch sana kuweka mkeka timu ninazozijua uwezo wake zipo chache sana kwenye Europa ya Leo.
Ila najikakamua kusuka betslip moja hapa nikimaliza ntakuwekea hapa punde tu tujaribu bahati.

Bet responsibly.
 
Weka mchepuko. Saa kumi na mbili na nusu finland
Screenshot_20180920-181437.jpg
 
Aha ha ha! We jamaa bhana. Binafsi nina mkeka mmoja kibindoni wenye risk sana una timu mbili tu za direct win nimeuwekea 50k. Risk yake ni kubwa sana inataka moyo wa chuma na ball of steel. Hatari tupu!
Jana ndio nilikuwa na mkeka wa hela ulikuwa na odds 14 nikauwekea 10k likapita lisaa kabla hata game hazijaanza Mrusi akataka aununue kwa 14k sababu aliona hawezi kuruka, na hatimae ulitick but ndio niliuza kwa elfu 36 nikaacha malaki.
Leo nascratch sana kuweka mkeka timu ninazozijua uwezo wake zipo chache sana kwenye Europa ya Leo.
Ila najikakamua kusuka betslip moja hapa nikimaliza ntakuwekea hapa punde tu tujaribu bahati.

Bet responsibly.
Uko na kismati sana ngoja na mimi nifanye kutembelea nyota yako....

Maana jana niliona bet slip yako nikakuambia usiuze ile ilikua pesa ukauza aise...

So am waiting for it dude, usuke then utupie humu ndani twende sambamba...
 
Hizi ni ODDS za kawaida ila nimezisahau idadi yake.

Code QLCT5

Ukiweza pita nazo then lipia bila kuangalia kitakachotokea mbeleni ndio halali yako.
Screenshot_2018-09-20-18-07-45.jpg
 
Mkuu sheria znatofautiana kati ya match za under 17,20 or under 19,na match za watu wazima..especialy kwenye muda,wengne ni dk35 kipind cha kwanza,wengne ni 40,za watu wazima ndo 45,..pia za wanawake ,kua makin,nying sio dk 90 especialy hiz za under 20,16,19 etc
Asante mkuu kwa kunielimisha ili nilikuwa sijalitambua..japo tayari nishakula za uso
 
Sasa hao chelsea wanapumzisha tena ma star wa nini na sisi tunataka kufanya nao kazi jamanii??aaghhrr!Kikosi chao vipi tayari au bado?
Chelsea wanachotaka kutufanya leo Mungu anajua... Wamepanga kikosi very mediocre! Hakuna Hazard, hakuna Kovavic, hakuna Azplicueta, leo Kazi ipo. Ngoja tuone.
Screenshot_2018-09-20-19-11-08.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom