Ngoja tuone
IMG_20180920_172734.jpg
 
Dah ndugu natamani tungeweza kumjua mchawi wa leo ili tuweze kumkwepa.

Binafsi nalazimika kuitoa ktk betting Timu yangu pendwa Chelsea maana hakuna kitu kigumu kama kushindana na na Mkeka.Mahaba ya timu nayaweka kando kwa Leo.
 
Wale PAOK hawawez kumfunga Chelsea... Mimi namfuata mzima mzima.
 
Licha ya Chelsea kuwadharau hawa madogo wa PAOK na kuwapumzisha mastar wao kadhaa kwa ajili ya EPL.. Direct win inawezekana mapema tu. But kwenye soka lolote laweza tokea ila madogo hawawezi kuzuia pressure na intensity ya Chelsea kwa dakika 90 zote za mchezo.

Possibility ni kubwa ya Chelsea kuwin ila kama mkuu ana hofu sana basi awape double chance yenyewe ni uhakika.
 
Dejavu naomba bet slip yako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom