mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 902
- 502
Noma sana mkuuNilitaka kugusa odds zake naona vidole vikakataa
Noma sana mkuuNilitaka kugusa odds zake naona vidole vikakataa
Mkuu unapo deposit hela lazima kuna masharti lazima utumie kiasi kadhaa kutia mkeka kwa odds nadhani kuanzia 1.4 kwa events 3 nakuendelea.Hapo tatizo nini jaman maana natoa mzigo wananiletea habari hizoView attachment 872561
Mimi Chelsea nimemuamini kama jana nilivyomuamini Man city.Game ya chelsea ni tricky sana,kam kuna uwezo wa kuweka team nyengine sio mbaya kuiwacha chelsea.
Ooohw poa mkuuMkuu unapo deposit hela lazima kuna masharti lazima utumie kiasi kadhaa kutia mkeka kwa odds nadhani kuanzia 1.4 kwa events 3 nakuendelea.
Kama umeweka hela hujabet alafu unataka kuitoa sahau hilo jambo. Lazima ubet hata ukitumia buku tu ilimradi ukidhi vigezo na masharti.
Someni "Terms and Conditions". Muelewe mkubaliane. Maswali yatakuwa machache
WONNyingine hii hapa wahiiView attachment 872582
Ha ha haaaa hiyo plan A ikifeli lazima tushike vichwa mkuu... Sari anaitaka uefa msimu ujao hana haja sana na Europa inaonekana, thus Y anatizama ligi au kaona PAOK si team ya kumuumiza kichwa sanaChelsea wanachotaka kutufanya leo Mungu anajua... Wamepanga kikosi very mediocre! Hakuna Hazard, hakuna Kovavic, hakuna Azplicueta, leo Kazi ipo. Ngoja tuone.View attachment 872559
Bi dada tunasubiri mzigoChelsea wanachotaka kutufanya leo Mungu anajua... Wamepanga kikosi very mediocre! Hakuna Hazard, hakuna Kovavic, hakuna Azplicueta, leo Kazi ipo. Ngoja tuone.View attachment 872559
Mkuu naona kama zohari tupu... Timu zinapanga vikosi vya kimama Sana, nashindwa hata nimuamini nani kwa option zipi? Balaa tupu!Bi dada tunasubiri mzigo
Halafu nimebet kuwapa mzigoBi dada tunasubiri mzigo
WONPesa hiyo wahiView attachment 872549
Napoli galatasary na Dotimondi Wasenge sanaView attachment 872551
True @ sugu wengi wetu wana gamble,kwa mawazo hayo kanjibai atawapiga saaaaana!!@Mkuu hapa sasa naona unataka Gambling na sio Investment tena.
Au mimi nilivyomuamini Simba kisha kamwaga mboga na ugali wa elfu sitiniMimi Chelsea nimemuamini kama jana nilivyomuamini Man city.
Utapotea mkuu. Inategemea na League.Wazee Wenzangu nimegundua kitu kimoja kwenye 1xbet, kama ww ni mdau wa inplay basi inakufaa zaidi, Kama Mechi inaendelea halftime alafu inaongza zaidi ya goli 4 ,Ukikuta hata kapewa over ya 8.5 weka maana mara nyingi hutoka, au cheza kipindi cha pili 2.5 Over huwaga point nzuri na huwa zinatoka sana. Nawasilisha.