We Mzee bado upo tu kwneye huu uzi? Nilikuacha mwaka 2020... nambie pesa kubwa kula ilikuw bei gani?MAXI TIPS
YOUNG BOYS GG 1.55
DORTMUND GG 1.40
MXB
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
AUCHO TIPS
OSASUNA GG 2.10
Al ahly siku hizi kama Simba tu au zamaleki au Man Uwatchout al ahly
Acheni uchawi bac tumewekeza kwa Spurs mjueNamuua SPURS Mazima ,Liwalo na liwe
basi poa mkuu hamna shida🤣🤣🤣sawa mkuu ila sometimes na hizo 3 utakuta zinazingua
Jamaa anazingua kinoma
tutakula=woteWapi nimeandika neno wote?
Ni siku nyingine teinaa (on Dj Mark voice)
wakuu leo natabiri tutakula
Hii ndo inaitwa liwalo na liwe kikubwa pesa iingie
Uhakika Yan mpka arudi kwao akutafute KAZI ya kufanyaHii ndo inaitwa liwalo na liwe kikubwa pesa iingie