Lakin hapo nimeeleza kuwa bonus ilikuwa 25 nikabet ikatoa 125,!nikabet miwili mmoja ukapotea mwingine unatoa 300 ndo naulizia hapo hii inatoka au niendelee kuizungushaBonus kama bonus huwezi kutoa hadi ushinde bet,ukiwin inakuwa hela halali na unaitoa vizuri
Hii bonus ni kichomi mzee,ilinishinda kuitoa ikapotelea huko nilifuata masharti yao yakanishindaLakin hapo nimeeleza kuwa bonus ilikuwa 25 nikabet ikatoa 125,!nikabet miwili mmoja ukapotea mwingine unatoa 300 ndo naulizia hapo hii inatoka au niendelee kuizungusha
Nishapita nayo25D23B1
Mi nilishacheza bonus ,niligawa mara nne mikeka 3 ikachanika moja nikashinda na nilipewa helaLakin hapo nimeeleza kuwa bonus ilikuwa 25 nikabet ikatoa 125,!nikabet miwili mmoja ukapotea mwingine unatoa 300 ndo naulizia hapo hii inatoka au niendelee kuizungusha
Kwenye acc yako ya 1xbet inasoma?Lakin hapo nimeeleza kuwa bonus ilikuwa 25 nikabet ikatoa 125,!nikabet miwili mmoja ukapotea mwingine unatoa 300 ndo naulizia hapo hii inatoka au niendelee kuizungusha
Kama hiyo hela inasoma pale juu kwenye acc yako, hiyo ni yako unaweza kutoaJaman Nilikuwa na Friday bonus jana ya sh 25000,nikabet yote nikapata 125k,nikabet mikeka miwili mmoja uka loose mwingine niliweka 75000 umetoa laki 3 hapa je naweza kuwithdraw au nabetia tena?hapa na ni kwa 1X ngulis tu,atayetoa maelezo ya kueleweka atapata chochote kitu
mimi nacheza over/under. itakuwa bado basketball sijaijulia, huwa nachezea vipigo tu. ambazo nachagua zinachana. ninazoacha zinawinBasketball ni mpila flani hivi ambao uko serious sana endapo ukifanya mistake kidogo tu unatandikwa goli za kutosha
watchout al ahlyJuventus win, Al Ahly win, Raith Rovers win, Cherno More win.