Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman Nilikuwa na Friday bonus jana ya sh 25000,nikabet yote nikapata 125k,nikabet mikeka miwili mmoja uka loose mwingine niliweka 75000 umetoa laki 3 hapa je naweza kuwithdraw au nabetia tena?hapa na ni kwa 1X ngulis tu,atayetoa maelezo ya kueleweka atapata chochote kitu
Kama hiyo hela inasoma pale juu kwenye acc yako, hiyo ni yako unaweza kutoa
 
Basketball ni mpila flani hivi ambao uko serious sana endapo ukifanya mistake kidogo tu unatandikwa goli za kutosha
mimi nacheza over/under. itakuwa bado basketball sijaijulia, huwa nachezea vipigo tu. ambazo nachagua zinachana. ninazoacha zinawin
 
single tkt

wolves 1x
2.00
napita tu
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
cagliari no score 1.75
zaragoza und 3.5
beroe und 2.5
psg w/d &ov 1.5

nikopalee kwa massawe
 
MAXI TIPS
YOUNG BOYS GG 1.55
DORTMUND GG 1.40
MXB

;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
AUCHO TIPS
OSASUNA GG 2.10

We Mzee bado upo tu kwneye huu uzi? Nilikuacha mwaka 2020... nambie pesa kubwa kula ilikuw bei gani?
 
CJNRV
IMG-20231111-WA0095.jpg


Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom