Wakamalia mmeamkaje, hope mpo vizuri kwa mapambano .

Safari yetu tuliyoianza juzi bado inaendelea tuendelee kumuomba mungu Kama tukivuka vizuri Leo kipande Cha mlimba mpaka makambako ambapo kuna mapango mengi basi kesho tunafika mbeya.

Tumuombee mwendesha chombo asiwe na wenge atufikishe. Dua zenu Ni muhimu ili tukifika salama tukajipogeze mbeya pazuri, carnival au chimbo lolote lile la ukweli.

Pamoja wakamalia

Mkamalia tuko pamoja dua zakuzidi mm niko behewa la firt class uku yan ni unyama sanaaa tutoboe salama tu
 
Back
Top Bottom