halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 441
- 1,160
Tumeamka salama mkuu, hebu fanya kama kutukumbusha code ya hilo treni manake tumetupia mengi, kuna timu kwenye treni moja ivi ilipewa under 5.5 na sasa ana goli 5 dakika ya 59Wakamalia mmeamkaje, hope mpo vizuri kwa mapambano .
Safari yetu tuliyoianza juzi bado inaendelea tuendelee kumuomba mungu Kama tukivuka vizuri Leo kipande Cha mlimba mpaka makambako ambapo kuna mapango mengi basi kesho tunafika mbeya.
Tumuombee mwendesha chombo asiwe na wenge atufikishe. Dua zenu Ni muhimu ili tukifika salama tukajipogeze mbeya pazuri, carnival au chimbo lolote lile la ukweli.
Pamoja wakamalia