Habari za humu maafisa michezo naomba ushauri Nina ten hapa natafuta odds 4 tu mi nimewza Mardild,Barca, LILE,mamelodi, ssheffid utd, wanaweza kunipa hiyo kitu nyi mnasemaje maafisa
 
BETPAWA Odds 8.37

958E306

kick off 16:30

Screenshot_20230429-102116_betPawa.jpg
 
Ila leo nimeamini kubet kazi kweli unaeza pata hata ugonjwa wa presha timu umeiamini Unaiomba over 3.5 au over 2.5 inachokifanya sasa
All in all kesho tunaendelea tulipoishia. Lengo kuu ni kumrudisha kwao kanjibai na hasara za kutosha
Lengo ni kamaria mwenye bahati atusue....mhindi hawezi pata hasara never. The game is designed for gambler to loose. Ndo maana ukicheki bet history ni lost lost lost...sasa fikiria mhindi kaingiza pesa ngapi! Let's go betting what we can afford to loose. Mtu asije beti ada, hela ya Kodi, etc Kwa matumaini ya kurudishia tutapata stress bure. Tukiweka hela ujue asilimia kubwa ni lost especially timu zikiwa zaidi ya kumi. So mtu akilost hakuna kushangaa maana ushajiwekea hii hela Ina possibility kubwa ya kuloose.

Finally ujanja weka timu moja mpaka tatu weka mzigo. Utakula mara nyingi kuliko kupoteza. Mfano game tatu zijazo za city EPL ziweke pamoja tupia mzigo😋😋
 
Back
Top Bottom