Wakamalia mmeamkaje, hope mpo vizuri kwa mapambano .

Safari yetu tuliyoianza juzi bado inaendelea tuendelee kumuomba mungu Kama tukivuka vizuri Leo kipande Cha mlimba mpaka makambako ambapo kuna mapango mengi basi kesho tunafika mbeya.

Tumuombee mwendesha chombo asiwe na wenge atufikishe. Dua zenu Ni muhimu ili tukifika salama tukajipogeze mbeya pazuri, carnival au chimbo lolote lile la ukweli.

Pamoja wakamalia
Tumeamka salama mkuu, hebu fanya kama kutukumbusha code ya hilo treni manake tumetupia mengi, kuna timu kwenye treni moja ivi ilipewa under 5.5 na sasa ana goli 5 dakika ya 59
 
90654a14eb759d434db2dd7fb84860c2.jpg
 
anyway, game ya simba imeondoka na mtaji wangu, leo ndio nimeamini kwenye betting unatakiwa kuamini hisia zaidi kuliko uchambuzi,

niliipa over 1.5 lkn toka mwanzo hisia zilizikua zinanituma nimpe simba kwa handcap ya (0:2).........
mkuu jina lko lmenikumbusha korean drama..kali haijawahi kutokea..Dong Yi.
 
Leo nina muda wa kutosha na mtaji wa kutosha wacha nizame chimbo nikapike kitu cha kumrudisha kanji kwao akalime pilipili
 
Hii weekend ina hela wakuu tengeneza tren ianze leo iishe kesho
Mamelod
Espepprance
Raja wape gg
Madrid
Barca
Roma na ac milan wape gg
Lile
Man city
Liver na tot wape gg
Man u na vila wape gg
Newcast
Bayern
Leipzg
Renes
Psg
Marseile
Napoli
Yanga
Slavia prague
Olympiakos
Molde
Porto

Haya me sijui mambo ya code najua direct win pekee mzg huo hapo kesho unachukua chako
 
Wakamalia mmeamkaje, hope mpo vizuri kwa mapambano .

Safari yetu tuliyoianza juzi bado inaendelea tuendelee kumuomba mungu Kama tukivuka vizuri Leo kipande Cha mlimba mpaka makambako ambapo kuna mapango mengi basi kesho tunafika mbeya.

Tumuombee mwendesha chombo asiwe na wenge atufikishe. Dua zenu Ni muhimu ili tukifika salama tukajipogeze mbeya pazuri, carnival au chimbo lolote lile la ukweli.

Pamoja wakamalia

Mkamalia tuko pamoja dua zakuzidi mm niko behewa la firt class uku yan ni unyama sanaaa tutoboe salama tu
 
Back
Top Bottom