Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,049
- 11,628
Yah CYPRUS Bila kuwasahau mashoga wa WALES Wakiongozwa na TNS Hakufai.
Yah CYPRUS Bila kuwasahau mashoga wa WALES Wakiongozwa na TNS Hakufai.
Mitimu ya italia ni ya kik***u****ma#-_$5+
Napoli anatupiwa tena goli nyingi na timu yenye odd zaidi ya kumi
But hata kabla juzi nadhani nilitahadhirisha. Hii ligi ina mamafia wa kufix match
Sent using Jamii Forums mobile app
cyprus wametembea na 50k yanguYah CYPRUS Bila kuwasahau mashoga wa WALES Wakiongozwa na TNS Hakufai.
Mkuu......Mimi walitembea na 50k yangu Last week hawa wajinga AEK LARNANCA tena nilikuwa nimewapa Double Chance.
Mbwa kabisa hawa wanikome kwenye mikeka yangu nmejifunzaMkuu......Mimi walitembea na 50k yangu Last week hawa wajinga AEK LARNANCA tena nilikuwa nimewapa Double Chance.
Mkuu......Mimi walitembea na 50k yangu Last week hawa wajinga AEK LARNANCA tena nilikuwa nimewapa Double Chance.
Kabisa mambo ni magum aisee league ziishe tuimagine odds za RB double chance, celta, westbrom, real sociedad aisee hatar sana,,,, na leo kati ya lyon, betis na ac milan mmoja atasepa na kijiji
Naendelea kusisitiza bet ni mchezo mwepesi hakuna bayern. ..sevilla.. .wala vitorul. ...tuendelee kubahatisha tu ahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app