Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20200209-201920.png
 
Yaani huyu aliyekula jackpot ya sportpesa amenivunja moyo kuendelea kubeti jackpot nilikuwa nimeipania sana ile millioni 400 kila wiki nilikuwa natumia 50k mpaka 60k kuifukuzia daaah kweli bahati ni bahati tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naambuliaga bonus tu mechi 10..weekend hii sikucheza kabisa...nimechungulia now naona mzigo umeondoka wameanza na 200 zingine..dah huyo aliyekula kaanza mwaka vizuri kwa usawa huu huo mkwaja angalau si haba..
 
Na nilikuwa na uwakika kwamba lazima nimpige ile millioni kumi ila wapi
Hahahahaha hiii ilishawahi kunitokea kwenye jackort ya bet pawa nilitenga 64k nikaamuwa kucheza kwa kulinda nikacheza mikeka kumi na kila mkeka nililinda timu sita ila acha na nilichambua haswa vigezo vyote nilipitia ila huwezi amini sikuambilia hata mia ya dawa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom