Hamia kwenye madarasa ya Polepole sasa

3021453_20210501_072041.jpg
 
Yalikuwa ni mawaidha bora kabisa,
Pia rais phillipo Nyusi wa msumbiji na Tshisekedi wa congo nao waliongea vyema sana kumtia moyo na kumueleza namna bora ya kufanya kazi Kama mchwa.

Naona kazingilwa na walafi wa mali za umma
 
wahuni atawashughulikia mmezidi unafiki
 
Yalikuwa ni mawaidha bora kabisa,
Pia rais phillipo Nyusi wa msumbiji na Tshisekedi wa congo nao waliongea vyema sana kumtia moyo na kumueleza namna bora ya kufanya kazi Kama mchwa.
Naona kazingilwa na walafi wa mali za umma
CCM sio chama cha siasa.
CCM akija hata malaika lazima atabadilishwa na kuwa shetani.
Tatizo ni CCM.
Unajua kwa nini tatizo ni CCM!?
1. Kuna watu wameaminishwa kuwa bila ya CCM kuwa madarakani, maslahi yao na ya vizazi vyao hayatakuwepo.
2. Kuna "oligachi" ndani ya CCM, hao ukigusa maslahi yao, utayaona ya "cha mtema kuni".
3. Ujinga wa watanzania wengi ni mtaji kwa CCM kutoongoza vyema.
4. Katiba mbovu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwepo viongozi wengi toka nchi jirani mbalimbali kuaga mwili wa hayati Magufuli,mengi walizungumza mema kuhusu kiongozi huyu,
Nakumbuka hotuba ya uhuru Kenyatta ,alikwambia dada yetu njia umekwisha onyehwa na hayati Magufuli,wengi walishangilia na wewe imani yangu ulipata ujasiri

Nini kimekukuta ndani ya muda mfupi ikiwa njia ulikwisha onyeshwa?
Hebu tafakari upya tena maneno ya Uhuru Kenyatta.

Kuteleza sio kuanguka,muda unao wa kujisahihisha,serikali bado ni ileile na wewe ndio Amiri jeshi mkuu
The honeymoon might be over! Mwaka haukutimia. Anaweza kukikimbia kiti
 
Back
Top Bottom