nashindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  2. adriz

    JamiiForums Tanzania Member Busu la Kenge ananitishia lazima nilipe ban yake , nashindwa kuelewa nifanyaje wana Jf..

    Moja kwa moja.. Mimi toka nimerudi kwenye meditation nimechagua kuishi maisha ya amani , sitaki ugomvi hata mtu akinichokoza na kunitukana nampuuza na namjibu kwa staha . Leo nashangaa kwenye Uzi wangu ghalfa bin vu ametokea member anayejulikana kama Busu la Kenge na kunitishia maisha eti...
  3. Miss_deejjah

    JamiiForums Tanzania Mpangaji mpya

    Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kwanini watu walipie Tsh 2800 kupiga kura kwenye Miss Grand International?

    Wakuu hiki kitu naona kinatrend mtandaoni ila mimi nimeshindwa kuelewa kabisa kwanini tulipie kura Tsh 2800. Sijui ni ubahili wangu au vipi ila akili yangu imegoma kabisa kukubaliana na hili. Naona kampeni ni kubwa ikiwa na baraka zote za serikali kulipia hizi kura ili miss wetu ashinde Miss...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimezidiwa na wateja karibu ya wananchi 500k hadi nashindwa kuwamudu na nina wasiwasi wakiongezeka wataniliza na viatu

    wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
  6. polokwane

    JamiiForums Tanzania Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  8. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

    Hivi majuzi mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana kiasi kwamba nikigusana na mtu kidogo tu shoti., nikishika jokofu shoti, nikigusa tv au pc hasa ikiwa on ...shot japo sio zile shot kubwa ... Sasa watalaamu naombeni kuelewesha zaid hii maana ake ni nini🙏🏻
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  10. Libya

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuaccess Platform ya Twitter (X) nikiwa Tanzania

    Habari wana Jukwaa , Toka nimefika Tanzania napata changamoto yaku access Mtandao wa Twitter (X) , Je ni VPN gani nzuri ambayo nitaitumia ili niweze kupata mtandao huo hapa Tanzania. Naombeni msaada nyie mnawezaje kuupata vizuri
  11. khamis kilo

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

  12. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumshauri rafiki angu ana penda wanawake Sana

    Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye yuko nje kikazi kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma Kila pisi...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
  14. Sanctus Libela

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumwaga raundi ya pili

    Umuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu. Kila nikikutana na mpenzi wangu nachelewa kumwaga raundi ya kwanza Dk 10-15 vizuri tu bila shida. Nikimaliza raundi ya...
  15. Kijana asiye na makuu

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

    Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo 1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu 2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani 3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

    KUna tukio nimekutana nalo shambani siamini mpaka kwasasa naona kama ni ndoto au ni uoga wangu au nini sielewi chochote mpaka sasa hivi kwa nilichokiona . Miezi kazaa hapo nyuma Katika kijiji chetu tulikuwa na msiba wa mama fulani ambaye alifariki baada ya kuugua mgonjwa wa kupooza kwa...
  18. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Bila VPN JF inashindwa kufunguka. Je, imefungiwa tena?

    Wakuu, Mchana nilikuwa naingia bila kutumia VPN lakini muda huu nashindwa kuingia. Shetani gani tena huyu? Binti wa zamani
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Niko bar na mama yenu, nashindwa kabisa

    Aisee nipo hapa kama unaenda huku kushoto na mama yenu. Yaani inapita mizigo ya hatari hatari hadi roho inaniuma. Picha linaanza pembeni kuna mimama saizi yangu kabisa nabaki naikodolea tu. Kuna muhudumu mmoja kaamua kunivalia aisee ni shida mara mia nane. Naangalia kwa wiziwizi nakaribia...
Back
Top Bottom