Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,376
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana. Mara nyingi sana magufuli alikua anavunja katiba wazi-wazi yaan magufuli alikua anaifuata katiba anapojisikia au inaposuit his agenda

Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa sana mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya

Katiba ya Tanzania inampa Rais option ya kutokuifuata na mda huo huo inampa hakikisho la kumlinda ashishtakiwe, yaan Rais wa Tanzania anaweza akawa dikteta na bado katiba ikamlinda sababu akiondoka madarakani ashtakiwi

Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
 
Sema ameshindwa kuzuia maandamano baada ya Mbowe kumzidi ujanja Kwa kushirikisha UN na mabalozi wa USA na Uingereza.

Ikiwa alikuwa na Nia njema kuruhusu maandamano, why wanajeshi hawakujitikeza yalipotokea mafuriko, waje kufanya usafi siku ya maandamano ya CHADEMA?

Huna HOJA.
 
Issue ya wanajeshi ni RC tu alikurupuka, unadhani SSH angeamua kukaza asingeweza ?
 
Sema ameshindwa kuzuia maandamano baada ya Mbowe kumzidi ujanja Kwa kushirikisha UN na mabalozi wa USA na Uingereza.

Ikiwa alikuwa na Nia njema kuruhusu maandamano, why wanajeshi hawakujitikeza yalipotokea mafuriko, waje kufanya usafi siku ya maandamano ya CHADEMA?

Huna HOJA.
Kauli ya wanajeshi hakutoa Rais
Nitajie Rais aliyeruhusu maandamano ya wapinzani bila bughdha yeyote ile nasubiria jibu
 
Rais kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa tokea awe Rais ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais wa nyuma walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Wewe bumunda rais hatoi ruhusa ya maandamano bali ni katiba ndio inaruhusu watu waandamane. Wewe ndio wale wale huwezi kuongea sentesi moja bila kumtaja rais. Eti tunamshukuru/kumpongeza rais kwa kufanya kitu fulani utafikiri huyo rais anatoa pesa yake mfukoni wakati ni kodi za raia. Usisahau pia kuwa yeye ni muajiriwa na analipwa mshahara kwa ajili ya kuhudumia familia yake. Bata wahed!
 
Aliyempa case ya ugaidi Mbowe Kwa kutaka kuandamana,

Na aliyewakamata Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude na kusema ni wahaini,

Ni nani tafadhali.
 
Tanzania rais yupo juu ya katiba kama ulikua hujui
Ndo maana anaweza akazuia maandamano na hakuna wa kumfanya chochote

Rais ana hiari aifuate katiba au asipoifuate sababu hata asipoifuata huna cha kumfanya katiba ya Tanzania inategemea sana busara za aliyeko madarakani
 
Aliyempa case ya ugaidi Mbowe Kwa kutaka kuandamana,

Na aliyewakamata Dr Slaa, Mwabukusi na Mdude na kusema ni wahaini,

Ni nani tafadhali.
Mbona hujajibu swali langu
Uzi wangu haujajikita kwenye case ya mbowe au mdude
 
Rais kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa tokea awe Rais ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais wa nyuma walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania mpare sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana

Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom