Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nitabaki na Nyerere daima huyu ndio anastahili sifa zote.. Viwanda alivyojenga vilikuwa mali ya watanzania wote kwa asilimia 100, hivi vilivyofuatia vyote ni vya mabepari na wanyonyaji na serikali inaambulia makapi na kuzeeshwa kwa nguvu kazi ya Taifa
In fact viwanda hivi vya sasa ni bonge la uhujumu uchumi kwa baraka za wenye mamlaka
 
Hujasikia leo ikisemwa kiwanda cha leo ni matokeo ya ziara kule Misri? Hujamsikia Makala akimwomba mama aongeze zaidi safari za nje ili wawekezaji zaidi waje?

Hivyo basi, ni matunda ya ziara za awamu ya sita na siyo kujifungia kwa awamu ya tano.
kwamba hicho kiwanda kimejengwa ndani ya miezi 6?
 
Mh. Rais tunajua unayo mengi ya kufanya lkn hali zetu za kimaisha watumishi wa umma hasa kada za chini (mishahara ya nyanya) tunakufa mama ebu lichukue kama swala nyeti.

Mh. Rais. Tunavumilia ila inashindikana mama, maisha yamekuwa mzigo, ebu tuokoe watumwa wako mama

Hali ya maisha kwetu ni mbaya sana.
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

" Mama We Love You "

IMG-20211210-WA0009.jpg
 
Mama Samia,
1. Unajua kuwa una maadui wa ile timu aliyoiacha "mwenzio"?
2. Unajua hao ndugu wa mwezio hawajaridhika Bado wewe kuwepo hapo?
3. Unajua kuwa kuna hujuma dhidi yako? Unahujumiwa nawe umejisahau.

Sasa mama umepigwa hujuma nzito, huku mtaani haunogi, wasikupambe hao wanaokubebea miavuli, wanakudanganya kulinda ugali wao. Watu wana chuki na wewe.

Fanya hivi.

(a) Mtoe FREEMAN MBOWE gerezani kupitia DPP, hapo umehujumiwa na hujashtuka(umepigwa kanyanga na wazandiki, mmoja huyo mvaa gwanda la policcm).

Ukitaka uupige mwingi, Mtoe mwenyekiti wa chama Chao hao CHADEMA na weka maridhiano nao, naapa utakuwa umeupiga mwingi.

(b) Kuna wajinga wanakuhujumu kwenye upandaji wa bidhaa, kaa chini, utafakari, una vyanzo vingi vya kupata taarifa, ila kwa hapa umepigwa.

Kidumu chama chenu Cha Mapinduzi!!!!!!!!
 
Chadomo mnaomba po

USSR
 
Hahhaaa yaani mmtishe kuwa mta andamana mapaka kieleweke kuhusu katiba na tume huru kisha nyie ndo muwe ndugu zake?

Mnataka ajitenge abaki na nyie kisha mmnyonge.

Kama manataia aje kwenu mwambieni afanye hiyo katiba na tume huru kisha hamtagombea ili amalize vipindi vyake ndo ataweza kuja kwenu na kujitenga na hao mnaowaita sukuma gang.
 
Serikali ya Mwendazake alitakiwa aiache imsaidie kazi miezi mitatu tu ya mwanzo huku akijipanga, kisha aipige chini, siyo kuendelea nayo. Sasa hakuuanika, ataendelea kuutwanga mbichi.
Huku mtaani ukweli ni kuwa raia hawamsomi!
Mengine naona ni yeye mwenyewe ndio anapanga. Anahitaji awe na akili ya aina gani kujua mbowe sio gaidi? Hata hili nalo tunasema anadanganywa?
 
Kesi iko mahakamani Kama nyinginezo.......

Rais hayuko mahakamani......

Huku mitaani mzunguko wa pesa umeanza kuonekana na mh.Samia ananoga haswa......

#Siempre JMT
 
Similar Discussions

68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom