Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA

📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024

Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu haipotei na kuliongoza Taifa katika nyanja za kimataifa, ki-diplomasia, kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Hatuna budi kumuombea kwa muumba wa mbingu na ardhi ili taifa letu lidumishe usalama, amani na utulivu.

➡️ Wanawake wote waliopewa dhamana ya kuongoza wanapaswa kuwa mfano bora katika uongozi wao. Viongozi wanawake wabunge na wawakilishi ndio wasaidizi wakuu katika kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele kutatua kero za wanawake na watoto wote katika jamii. Hili ndio Jeshi la Dr Samia

➡️ Kila Mwanamke awe kiongozi au asiye na uongozi awe CCM au Uwt au asiwe. Ni lazima kuhakikisha anasimamia imara malezi na maadili ya familia yake na jamii iliyomzunguka kwa ujumla, anakemea ukatili wa kijinsia, anajikwamua kiuchumi na kupunguza utegemezi, na ana hakikisha Amani inatawala.

➡️ 2024 Jeshi la Dr Samia Lipo Site kusaka Kura za uchaguzi za serikali mitaa. Wanawake kuhakikisha mitaa yote 564 ndani ya jiji la Dar es salaam inatekeleza dhana ya 50/50 katika uongozi wanawake kushiriki na kuwa wenyeviti wa serikali za mitaa.

➡️ Ni jukumu letu Kama jeshi la Dr Samia kuhakikisha tuna muunga mkono na kuwa sehemu ya Ushindi wake wa Urais 2025. Hakikisha unahamasisha wanawake wasio na kadi za CCM na Uwt wanakuwa wanachama na kutanua wigo jeshi kuwa kubwa na Kumsimika Jemadar Dr Samia Suluhu Hassan

➡️ Ni wajibu wetu mfano kama wewe ni Mwalimu Una wanafunzi wa kike kuanzia umri miaka 15 huyu anasifa ya kuwa Uwt, wanafunzi wa vyuo vya kati na vikuu. Una bint mhamasishe mjengee uwezo ajiamini mtafutie kadi awe Sehemu ya Jeshi La Dr Samia

➡️ Dar es salaam wapo zaidi ya wanawake Milion mbili tunasema hivi 2025 Hatuna Raisi Mbadala zaidi ya Dr Samia. Kwanini kwa sababu Kwa upande wa ellimu ameboresha mitaala ya Elimu ili kuendana na mabadiliko Dunia.

Amekarabati shule kongwe na kujenga shule mpya, amejanga maabara, ameweka vifaa vya kujifundishia na kujifunza na amejenga shule za wasichana za Sayansi kwa kila mkoa ili kuhakikisha mabint hawabaki nyumban na kuwa mahiri katika masomo ya Sayansi.

Ameajiri waalimu na bado ataendelea kuajiri, Elimu bure anaisimamia pamoja nachangamoto zilizopo hajabaki nyuma kuhakikisha anazitatua kwa awamu. Sekta ya afya ndio usiseme ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi vifaa tiba na ajira za wauguzi na madaktari. Sekta ya maji ametekeleza miradi mingi kuhakikisha changamoto ya maji jijini na Tanzania nzima kwa ujumla inakuwa historia. Nambo mengine mengi.

➡️ Dr. Samia ni Chaguo la Manani ameruzukiwa vipawa na anaongoza vyema na kwa uweledi. Kura za kishindo kwake ndio zawadi tosha

➡️ Jeshi la Mama Tusiyumbe tuhakikishe tunakuwa kimbililio la wanawake na wenye uhitaji kwani sifa ya Mwanamke ni Mlezi, huruma na mapenzi ya dhati. Hivyo kila aliyepata uongozi ajue anadhima kwa manani na ataulizwa nafasi aliyopewa alituumiaje pasina kuchonganisha, kugombanisha au kuwa sehemu ya mipasuko.

➡️ Kila mwanamke awe mstari wa mbele kujenga Umoja, mshikamano na kuacha upendeleo au ubaguzi kwa kundi flan kwa kuwapa zawadi au bahashishi kwa maslahi yake binafsi na kusahau kundi kubwa la wanawake na watoto lenye matumaini makubwa kwa Rais Dr Samia tuwe kipaza sauti cha kumsemea Raisi Dr. Samia yanayotekelezwa na serikali yake ambayo wanawake watoto na watanzania kwa ujumla wanaoyaona matunda ya uongozi wake.

➡️ Jeshi la Dr. Samia Tupo imara na kazi Iendelee.

🖋️ Mbwambo MR
Mwenyekiti UWT Mkoa Dara es salaa

WhatsApp Image 2024-01-29 at 12.52.20.jpeg
 
Nilikaa kijiweni kwenu sinza wewe na wenzako mkawanasema dawa ya mama ukimsifia tu anakuteua.mkawa mnamsema mengine mabaya sana .
 
View attachment 2887029
Wanaume pia tunajivunia,kuwa na Rais Samia.
 
Huu ujinga ndio Mimi nachukia!!!

Sifa za kijinga zieangusha hili taifa!!

Kusifu mtu ujinga hasa kiongozi ni kosa kabisa kisheria,yaani kuikosea jamhuri yetu!!

Samiah na chawa wake watambue urais haupiganiwi,hautafutwi wala haubembelezi mtu,!!

Urais humtafuta anaefaa tokana na zama ambazo taifa letu linapitia!!

Kama wewe ni Rais was 2025/2030 kudra zitakupa nafasi we chapa kazi Kwa bidii na achana na uchawa plus kampeni muda bado Hadi pale utakapopitishwa na chama!!!

Kelele hizi zinakuharibia na pia zinaamsha maadui was kiroho wasioonekana.ambao watatumiwa na nature kukukwamisha kabisa!!
 
Back
Top Bottom