Ludewa tunasema asante Rais Samia Suluhu Hassan

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN

Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST.

Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani Ludewa- Tunamshukuru Mungu, Miradi yote imekamilika kwa ufanisi na viwango vya juu.
Na tunapoelekea kwenye mwaka mpya 2024 ambapo madarasa haya yatatumika na Wanafunzi wetu kwenye mwaka mpya wa masomo, basi tunazidi kujivunia maboresho makubwa kwenye Taasisi za Elimu husika.

Mchanganuo wa Fedha za miradi yote:

1. Kata ya Mavanga imepokea fedha ya kujenga shule ya msingi mpya eneo la Ruhuhu Darajani kiasi cha jumla ya shilingi milioni 347,500,000/=. Aidha shule ya msingi Mbugani imepokea kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu 3 ya choo.

2. Kata ya Ludewa imepokea fedha ya kujenga madarasa 2 ya elimu ya awali katika shule ya msingi Ludewa Mjini kiasi cha jumla ya shilingi 69,100,000/=

3. Kata ya Milo imepokea fedha ya kujenga madarasa 3 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Mapogoro kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/=

4. Kata ya Ludende imepokea fedha ya kujenga madarasa 3 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Maholong’wa kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/=

5. Kata ya Mlangali imepokea fedha ya kujenga madarasa 4 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Mlangali kiasi cha jumla ya shilingi 106,000,000/=

6. Kata ya Mundindi imepokea fedha ya kujenga darasa 1 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi ya elimu maalumu Mundindi kiasi cha jumla ya shilingi 31,000,000/=

7. Kata ya Lupingu imepokea fedha kiasi cha jumla ya shilingi 181,000,000/= kwaajili ya ujenzi wa madarasa 3, ujenzi wa matundu 3 ya choo na nyumba mbili za walimu katika Shule ya Msingi ya Nindi

#LudewaYetu #Ludewa

Asante DED Ludewa Ndugu Sunday Deogratius kwa kazi nzuri sana, Asanteni Wataalam wote, Asanteni Watendaji na Wasimamizi wote kwa kufanikisha vema. Asante viongozi wa CCM kwa ushirikiano mwema kwa ngazi zote.
Asante Mbunge Ludewa Mhe Joseph Kamonga kwa kuendelea kupambania Jimbo la Ludewa; nasi sote kama team kazi ya Dkt Samia Suluhu Hassan tuzidi kusonga mbele na kusimamia maendeleo ya Ludewa.

Victoria Mwanziva
DC LUDEWA

LUDEWA YETU, MAENDELEO YETU
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2023-12-18 at 04.33.56.mp4
    13 MB
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.32.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.32.jpeg
    48.6 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.33.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.33.jpeg
    53.1 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.34(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.34(1).jpeg
    97 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.36.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.36.jpeg
    74 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.37(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.37(1).jpeg
    95.5 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.38(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.38(1).jpeg
    64.5 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.39.jpeg
    WhatsApp Image 2023-12-18 at 04.32.39.jpeg
    47.5 KB · Views: 5

LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN

Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST.

Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani Ludewa- Tunamshukuru Mungu, Miradi yote imekamilika kwa ufanisi na viwango vya juu.
Na tunapoelekea kwenye mwaka mpya 2024 ambapo madarasa haya yatatumika na Wanafunzi wetu kwenye mwaka mpya wa masomo, basi tunazidi kujivunia maboresho makubwa kwenye Taasisi za Elimu husika.

Mchanganuo wa Fedha za miradi yote:

1. Kata ya Mavanga imepokea fedha ya kujenga shule ya msingi mpya eneo la Ruhuhu Darajani kiasi cha jumla ya shilingi milioni 347,500,000/=. Aidha shule ya msingi Mbugani imepokea kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/= kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa na matundu 3 ya choo.

2. Kata ya Ludewa imepokea fedha ya kujenga madarasa 2 ya elimu ya awali katika shule ya msingi Ludewa Mjini kiasi cha jumla ya shilingi 69,100,000/=

3. Kata ya Milo imepokea fedha ya kujenga madarasa 3 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Mapogoro kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/=

4. Kata ya Ludende imepokea fedha ya kujenga madarasa 3 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Maholong’wa kiasi cha jumla ya shilingi 81,000,000/=

5. Kata ya Mlangali imepokea fedha ya kujenga madarasa 4 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi Mlangali kiasi cha jumla ya shilingi 106,000,000/=

6. Kata ya Mundindi imepokea fedha ya kujenga darasa 1 na matundu 3 ya choo katika shule ya msingi ya elimu maalumu Mundindi kiasi cha jumla ya shilingi 31,000,000/=

7. Kata ya Lupingu imepokea fedha kiasi cha jumla ya shilingi 181,000,000/= kwaajili ya ujenzi wa madarasa 3, ujenzi wa matundu 3 ya choo na nyumba mbili za walimu katika Shule ya Msingi ya Nindi

#LudewaYetu #Ludewa

Asante DED Ludewa Ndugu Sunday Deogratius kwa kazi nzuri sana, Asanteni Wataalam wote, Asanteni Watendaji na Wasimamizi wote kwa kufanikisha vema. Asante viongozi wa CCM kwa ushirikiano mwema kwa ngazi zote.
Asante Mbunge Ludewa Mhe Joseph Kamonga kwa kuendelea kupambania Jimbo la Ludewa; nasi sote kama team kazi ya Dkt Samia Suluhu Hassan tuzidi kusonga mbele na kusimamia maendeleo ya Ludewa.

Victoria Mwanziva
DC LUDEWA

LUDEWA YETU, MAENDELEO YETU
ujinga ujinga tu ni hela zake Sasa unasema Asante Rais watu kam nyie mnatakiwa kunyongwa kwa unafiki na kujikomba kupitiliza
 
Mnamshukuru Kizimkazi ama mnamshukuru Mungu? ama vyote kwa pamoja?
Adui wa nne katika nchi hii amezaliwa 2015 na hivi sasa anaendelea kukua kwa kasi ya moto wa mwituni. Si mwingine bali ni uchawa mzawa wa kujikomba na kulamba viatu vya watawala.
 
Back
Top Bottom