yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Maswali yangu kuhusu Mkataba DP World

    Mimi binafsi napenda sana uwekezaji na hasa uwekezaji uliofuata utaratibu wa kisheria. Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu mkataba wa DP World; (1) Kama tuna sheria ya manunuzi inayotuongoza nchi nzima ni kwa nini mkataba huu haukutangazwa na kuwepo na ushindani? (2) Jana Mhe. Waziri...
  2. C

    SoC03 Tanzania yangu

    TANZANIA yangu ni nchinzuri yakuvutia inavitu vingi vyakuvutia kama mrima Kilimanjaro mbuga za selengeti mikumi na hifadhi yakitulo saadani makumbusho ya bagamoyo Zanzibar forodhan na vivutio vingi pamoja na madini mengi adhim Dunia kama dhahabu, tanzanite inayo patikana Tanzania pekee hii...
  3. mrdocumentor

    Lindi yangu ina nini?

    Lindi ni miongoni mwao mikoa inayopatikana ukanda wa kusini pamoja na mkoa wa Mtwara na Ruvuma, katika mkoa wa Lindi yanapatikana makabila tofauti tofauti lakini ukiniuliza wenyeji wa Lindi ni kabila gani? Jibu rahisi ni Wamwera. Vipo vitu vingi sana vya kujivunia kutoka Lindi Ikiwemo uwepo wa...
  4. Yofav

    Mke wa Jirani yangu ananipa chakula kila apikapo

    Habari wakuu, As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima atanigongea mlango baada ya chakula kuiva. Me ni bachela ndiyo na huwa sipendelei sana kupika kutokana...
  5. Jasuma

    Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
  6. Brain Kingdom

    Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

    Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati. Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
  7. masopakyindi

    Sasa najiuliza, hoja alizo ibua Karume zimejibiwa?

    CCM lazima ibadilike. CCM lazima iende na wakati. CCM isijifikirie kuwa wao ndio wana akili kuliko wengine wote, hasa walio madarakani. CCM ikubali na iunde utarstibu wa kuvumilia kukodolewa ndani na nje ya chama. Picha inayojitokeza ni uongozi wa CCM kutojiamini na kushindwa kujibu hoja...
  8. BARD AI

    Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Teja wa Dawa za Kulevya Hadi Kupona

    Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
  9. peno hasegawa

    CCM kimeanza kuumana

    Bandari, bandari Bandari ===== Tawi la CCM linalosomeka Kinondoni Mjini lavunjwa na wananchi. === JamiiForums imefanyia kazi suala hili, soma: Ofisi za CCM Kinondoni zavunjwa kisa Mkataba wa DP World
  10. Ironbutterfly

    Experience yangu JF miaka 10 iliyopita

    Habari za usiku waungwana. Nimekumbuka experience yangu humu JF 10 years ago, nilikutana na a nice guy, ngoja nishee nanyi. Ilikuwa ndo nimegraduate chuo kikuu, nikaajiriwa kampuni X jijini Arusha, ilikuwa kampuni yenye projects nyingi, halafu za kusafiri almost every week kuna trip. Mimi ndo...
  11. Von_Lufuta

    Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke wa rafiki yangu pasipo kujua

    Habari za jumapili wakuu, hope mko vizuri. Nipo vizuri pia ingawa nipo njia panda kwa hili jambo. Kuna jamaa zangu wawili mapacha wanyaturu huwa wana mdogo wao wa kike, ni mrembo Pro Max. Katika ile familia, naweza kumpa credit mama yao kwa kufyatua watoto wazuri kupita maelezo pale mtaani...
  12. hp4510

    Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

    Wakuu Habari za weekend Jana nimedrive gari Kwa umbali kama wa kilometres 2, Nikafungua mfuniko wa rejeta, kilichotokea ni maji kuruka Kwa nguvu Sana kama video inavyoonyesha, Maswali yangu ni kama ifuatavyo 1 shida ni Rejeta 2 shida ni engine 3 shida ni gasket 4 au shida ni feni zile za...
  13. GENTAMYCINE

    Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

    1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti. Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz 2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
  14. Mr Why

    Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  15. Jidu La Mabambasi

    Huyu kuku, namla peke yangu! Wageni sitaki!!

    Nikiwa ketu huku usukumani, nikija likizo mjomba huwa ananiwekea li kuku king size ili nile nishibe. Sasa nyie wa mjini ati vi fried chicken vya Chick King au Mary Brown, najua hamshibi. Nataka watu wengine twende karibuni wote Bariadi.
  16. S

    Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  17. Li ngunda ngali

    Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  18. A

    SoC03 Taifa langu Jamii yangu

    Utawala bora na Uwajibikaji! Hivi ni vitu gani? Nani hawajibiki? Je utawala siyo bora? Nani ni mtawala? Mtawala ndiye hawajibiki? Au anayetawaliwa hawajibiki? Kipi kinaathirika zaidi ikiwa mtawala na mtawaliwa hawawajibiki katika nafasi zao? Tunaona sawa ila tunatazama tofauti.Ndiyo,mitazamo...
  19. BARDIZBAH

    Niliyokutana nayo katika safari yangu ya jahazi kutoka Wete(Pemba) mpaka Tanga, vimbwanga vya mabaharia

    Habari waungwana? Yah, juzi nikiwa natoka Pemba Kaskazini (Wete) nikielekea Tanga nilipanda jahazi kutokana na ufinyu wa usafiri wa meli za kutoka Pemba kuelekea bara, lakini pia si unajua bajeti maana uchumi mgumu bado sijatengamaa. Basi bwana nikafika bandarini pale Wete asubuhi ya saa tatu...
  20. GENTAMYCINE

    Mapato ya Yanga SC nakubaliana nayo, ila ya Simba SC yangu siyaamini na ni ya Kipropaganda zaidi

    Uongozi wa Simba SC hakuna ulazima kila Yanga SC ikitoa Ripoti yake hasa ya Mapato au Mafanikio fulani basi nanyi pia haraka sana mje na yenu ya Kubumba (Kupika) na kufanya Kwenu hivi ni Kutudhalilisha wana Simba SC wengi wenye akili kubwa kuliko hata nyie mlioko uongozini. Ni Mwendawazimu tu...
Back
Top Bottom